MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Mwanzisha mada hujui muziki!! Pamoja na matatizo yake ya ulevi wa kila aina lakini katika Marapa wa commercial hapa Bongo yule dogo muache kama alivyo!
Mimi si mtu rahisi kuwakubali marapa wa Kibongo lakini imenigharimu muda kuelewa kipaji cha Blue!😛oa
Mimi si mtu rahisi kuwakubali marapa wa Kibongo lakini imenigharimu muda kuelewa kipaji cha Blue!😛oa