Twende tesa sana baby,vibaya ukinikana baby..
Ntakuwa sina maana baby,aaaahaaaah baby..
Toka mchana alfajiri,fake mpaka realy
Mapenzi sio siri,au kwakuwa tupo wawili.........
Hilo kitu linaitwa tabasamu,na kupitia hilo goma ndio wengi wetu tulipoanza kumjua steve rnb.Achana na bayser mleta mada.
Tulikwambia,muda wetu wewe...
"Nlikuwepo":bolt: