Kama povu hivinyege mbaya sana
Ahsante sana Dio, nimejiskia vizuri nakupenda pia 😍😍[mention]financial services [/mention] Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu.
Allah akujaalie maisha marefu yenye baraka tele. Unapendwa na utapendwa daima mrembo wangu wa nguvu.
Ahaaa hili bango limenipata ahsante! Ila ntakulipa KENZY Utalia kama mtoto wewe😂.Unaweza kuta ni ID moja ila inajiliwaza..!
Anyway happy birthday kwake ila siwezi muacha bila bango! financial services umekuwa mama uolewe Sasa achana na vifurushi vya mwaka..😂
Nyege how tena mkuu? Mbona unakosa ustaarabu kwenye siku muhimu za watu🤔nyege mbaya sana
Kumbe watu mpo na watu hata hatuambizani.[mention]financial services [/mention] Nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi changu.
Allah akujaalie maisha marefu yenye baraka tele. Unapendwa na utapendwa daima mrembo wangu wa nguvu.
Amen ahsante mkuu 😍Happy born day to you. Ukawaone na watoto wa watoto wako.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Thank you dear Nuzu😍Happy birthday 🎁
Thank you Mwalimu, kuhusu pisi mimi hata si pisi kali nipo kawaida sana🤔Bila kapicha Uzi bado haujakamilika enewei HBD ila uyu fainansho sevisi anaonekana ni pisi kali tu
Mungu akaweke Neema kwenye maisha yako mpaka Walimwengu tushangae.Thank you dear Nuzu😍
Kunywa maji kwanza utulize Koo na hasira zishuke!,halafu gaidi halii.Ahaaa hili bango limenipata ahsante! Ila ntakulipa KENZY Utalia kama mtoto wewe😂.
Thank you so much my friend uzee huu hapa tayari
Hi Kasomi! Mbona hata wewe tupo wote humu, sisi jf ni familia moja japo hatufahamiani so kuwishiana heri ni jambo jema kwa wote tu.👏Kumbe watu mpo na watu hata hatuambizani.
Amiin my dear! Nimefurahi kusikia hivo nakukubali piaa😍Mungu akaweke Neema kwenye maisha yako mpaka Walimwengu tushangae.
#BinafsinakukubalimnoJf