Kwako mrembo wangu wa nguvu

Kwako mrembo wangu wa nguvu

Hi Kasomi! Mbona hata wewe tupo wote humu, sisi jf ni familia moja japo hatufahamiani so kuwishiana heri ni jambo jema kwa wote tu.👏
Asante kwa kunijuza hilo.

Basi uwe na heri ya kuzaliwa huku uswahilini wanasema Mungu akuongezee miaka mingi kama namba za NIDA
 
Back
Top Bottom