Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmm aya mambo ni mazito embu funguka bibie tuweze kujua nn kime jiri uko kilingeni!!Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?
Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
SidhaniNi serious jamani
Kama alikupiga kwanini hukuenda polisi? unadhani kuanzisha uzi humu itakusaidia kitu? kwa kawaida huyo mshana hata kuja kujibu kwenye hii thd bali atasubiri azungumziwe humu kisha yeye ata anzisha thd nyingine ya kujisafisha,Alinipiga sana lakini hakuna atakaeishi milele
Yaani ulienda kwake physically kabisa ukiwa umejiandaa na akili zako timamu ndio ukapata kibano au ulichukuliwa na mazombi yake?Alinipiga sana lakini hakuna atakaeishi milele