Kwako Mshana Jr

Kwako Mshana Jr

Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
"Kukulima cha moto"mi hata sijaelewa
 
Hi
Kama alikupiga kwanini hukuenda polisi? unadhani kuanzisha uzi humu itakusaidia kitu? kwa kawaida huyo mshana hata kuja kujibu kwenye hii thd bali atasubiri azungumziwe humu kisha yeye ata anzisha thd nyingine ya kujisafisha,

Anyway kesi haihukumiwi kwa kusikilizwa upande mmoja,ngoja tuone kama atakuja hapa.
ameshaloga polisi wanamuogopa yeye na hata madaktari wanaogopa kunitibu
 
Mshana Jr kumbuka kuwa hapa duniani tunapita, kunipeleka ofisi ni kwako na kunilima cha moto kisa nimehoji uganga na elimu yako ya unajimu kweli hii umeona ni kumaliza matatizo?

Mshana Jr damu yangu itakulilia mpaka siku na wewe unaingia kaburini. Wewe hutaishi milele kaka yangu Mshana Jr
Funguka zaidi.
Wewe ni me au ke?
 
[HASHTAG]#sky[/HASHTAG] kuna kitu nyuma ya pazia ebu tuambie kinaga ubaga
maana taarifa yako ipo kama ina loading.........
 
Back
Top Bottom