Kwako Mshana kaka Yangu, naweza kujua lugha ya kichina kama nitafocus mwaka mzima?

Kwako Mshana kaka Yangu, naweza kujua lugha ya kichina kama nitafocus mwaka mzima?

Ndugu Mshana Jr naomba kuuliza kaka Yangu.

Mimi by proffesional ni dereva
Class A B D na E

Nataka kujifunza lugha ya kichina ili kutumia Lugha kupata pesa zaidi.

Je nikisema nataka kuwekeza mwaka mzima kwenye kujifunza lugha ya kichina naweza kutoboa ndani ya mwaka mmoja kujua angalau kufanya kazi na wachina?
Alibaba macho macho
 
Safi sana nakushauri fika UDSM pale utawala wana Confucious center.. Pale wana kozi za muda mfupi na unasoma part time tena jioni.. Kozi moja laki 3 kila mwezi.
Ukiwa na juhudi ndani ya miezi mitatu utakuwa umepiga hatua sana
 
Kwamba Mimi ni Ali baba!?🙆🏿‍♂
Kipindii daraja la kijazi interchange linajengwa Kuna kampuni ya kichina ilikua inalinda hapo ndipo nikajua maana ya ALIBABA MACHO MACHO

HII NI CODE BROTHER MSHANA 😁
 
Back
Top Bottom