Kwako Mshana kaka Yangu, naweza kujua lugha ya kichina kama nitafocus mwaka mzima?

Alibaba macho macho
 
Safi sana nakushauri fika UDSM pale utawala wana Confucious center.. Pale wana kozi za muda mfupi na unasoma part time tena jioni.. Kozi moja laki 3 kila mwezi.
Ukiwa na juhudi ndani ya miezi mitatu utakuwa umepiga hatua sana
 
Kwamba Mimi ni Ali baba!?πŸ™†πŸΏβ€β™‚
Kipindii daraja la kijazi interchange linajengwa Kuna kampuni ya kichina ilikua inalinda hapo ndipo nikajua maana ya ALIBABA MACHO MACHO

HII NI CODE BROTHER MSHANA 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…