Kwako Mtambuzi:Tuchimbulie kisa cha mtoto aliyeliwa na mbwa(Dingo) huko Australia

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Habari zenu wana MMU.Mtakubaliana nami kwamba mwana mmu mwenzetu, Mtambuzi, amekuwa mstari wa mbele katika kutusimulia visa,na kesi za kimataifa zilizokamata hisia za wengi kwa wakat huo zilipotokea na mpaka sasa bado zinasisimua. Binafsi sitasahau ile kesi ya mzungu mmoja wa Afrika ya Kusini aliyepanga njama ya kumtupa mfanyakazi wake kwenye zizi la simba.Pamoja na visa vingine kadhaa. Asante sana Mtambuzi kwa kujitolea kutupakulia stori hizo. Sasa leo nakuja na ombi maalum kwako Mtambuzi. Huko Australia kuna mama mmoja(Mrs Chamberlain) alikuwa anashutumiwa kwamba alimwua mwanawe mchanga (Azaria)aliyekuwa na umri wa miezi nane. Lakini baada ya muda mrefu iligundulika kwamba huyo mtoto hakuuwawa na ***** bali alichukuliwa na mbwa mwitu wa Australia wajulikanao kwa jina la Dingo Mtambuzi, ninakuomba utupakulie kisa hiki cha mtoto Azaria.Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Last edited by a moderator:
Hiki kisa kitaumiza sana maana unaimagine mtoto kaliwa na mbwa mwitu duh!
 
Mkuu HYGEIA samahani leo ndio nimeuona huu uzi,
Nitakitafuta hiki kisa na kukiweka hapa siku zijazo, naomba unipe muda nitawasilisha simulizi hiyo kwa kadiri nitakavyopata muda....

pamoja daima
 
Last edited by a moderator:
Nausubiri huo mkasa kwa hamu sana Mtambuzi. Ubarikiwe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom