Kwako mtani wangu mshana jr

Kwako mtani wangu mshana jr

Kwanza nikupe hongera na kongole kwa kupandishwa cheo cha platnum member,
Kingine nilikuwa nakuuliza hivi kwenye kazi yako ya ulozi hivi kipindi kama hichi cha mvua kila sehemu/mkoa mkiwa huko angani na gari lenu (ungo) hivi mvua ikinyesha mnabaki hivyo hivyo uchi au hua mnavaa makoti(jackets)kujifunika
Ni hilo nimewasilisha.[emoji144][emoji144]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu jamaa mpuuzi sana,Leo eti naye anajidai kuleta uchuro kwa. Afya ya mh .rais,
 
Nadhani kipindi cha mvua wanapita juu ya mawingu ambapo hakuna mvua...

Sababu mvua hutokea kwenye mawingu kushuka chini...

Cc: mahondaw
 
Ikifika saa saa nane hadi saa kumi alfajiri ndo ataonekana hapa na kukujibu kwa vitendo, uwe macho tuu usilale popote utapokuwa tukio litaonekana live dunia nzima bin JF yote.

Matata K.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmm nitaenda kumchukulia ndimu na ndulele na kipande cha wembe na mfupa au jino la kitimoto vyote hivuo vikishindwa nahama nchi[emoji2][emoji2]
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akikujibu unitag😀😀😀😀
 
Hivi unaruhusiwa kupaa na simu? Fasta tu ushajibu? Afu muda huu si bado mko kazini? Au wewe leo ujaenda unatoa maelekezo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wana uwezo wa kuhamisha mvua na baridi wapendavyo
Wingu likitanda wanapita juu yake
Mvua haiwapati wanaitazama kwa chini
original.jpeg
 
Huko ANGA KUBWA, mitandao ya simu inakuwa international aka hii hii local?
 
Back
Top Bottom