Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika

Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika . Weka na picha zao. Tuone vizibao na kanzu
 
Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika . Weka na picha zao
Anadai ni Wamanyema wa Darisalama na waislamu wa Darisalaama, kana kwamba uhuru wa Tanganyika uliletwa na Waislamu na watu wa Pwani pekee, huyu mzee ana chuki na wasio waislamu, kila anachozungumzia anazungumzia angle ya Uislamu anaona wameonewa ilihali wao ndio waechangia pakubwa kuleta uhuru Tanganyika, anamuona Nyerere kama mtu tu wa kuja aliyejiingiza katikati halafu akapiga show show bila kuwakumbuka waliompokea na kumtoa tongo tongo.
 
Mzee Muddy Said ni mpuuzi wa kiwango cha SGR.
 
Kwani Waingereza walikuwa wakoloni Tanganyika. Kuondoka kwa Waingereza kulitokana na mapambano kama Rhodesia au Mozambique?
 
Kwako Muhammed Said, tukumbushe waliowandoa wakoloni Tanganyika . Weka na picha zao
Mkoloni mbona bado yupo...kwani huyu jini jibril siyo mkoloni?
 
Attachments

  • 20251113_220421.jpg
    20251113_220421.jpg
    56.6 KB · Views: 2
Kwa wale tuliosoma historia vzuri tunajua fika hakuna aliyeleta uhuru zaidi ya mabeberu wenyewe kuraruana na kubadiri mfumo wa kututawala hasa mbabe wa dunia aliyekaa juu yaan USA na USSR. Waafrica tulikamilisha tu mchakato. Ndo mana nchi nyingi ziliitwa 'huru' 1960s
 
Back
Top Bottom