Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo😏
 
Siku moja nikiwa namsifia jamaa yangu kuwa amechagua mke sahihi sana na mrembo, hii ni baada tu ya kuwatembelea nyumbani kwao kwa mara ya kwanza,...

alinijibu,.............."MKE au MUME NI MZURI SANA AKIWA WA MWENZIO".....
 
Wataalam wanasema uzuri wa mwanamke unambeba kwa siku tisini mkiwa naye, baada ya hapo ni kile anacho deliver ndo kinambeba kwenye mahusiano
 
Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo[emoji57]
Hahaha umenilazimisha kucheka haha.
Unatembea na fuko la dawa!
Pole sanaa.
 
Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo[emoji57]
Mkuu pole sana.

Ila usijitamkie maneno mabaya namna hiyo kwasababu mdomo/ulimi huumba (soma Mithali 18:21).

Pole sana ila maisha mengine ni lazima yaendelee. You just don't have an idea what life can offer hapo baadaye.
 
Siku moja nikiwa namsifia jamaa yangu kuwa amechagua mke sahihi sana na mrembo, hii ni baada tu ya kuwatembelea nyumbani kwao kwa mara ya kwanza,...

alinijibu,.............."MKE au MUME NI MZURI SANA AKIWA WA MWENZIO".....
[emoji848]
 
Wenetu mnapotaka kuchepuka nendeni mbali sana, Kuchepuka na mwanamke wa mtaani ni kuwashushia heshima sana wake zetu.
Na wanawake huwa hawana kaba/usiri...unapotoka nae ni lazima atangaze mahusiano yenu ya siri kwa marafiki /mashoga zake ambao kwa asilimia kubwa nao huwa ni masnitch zake. Hivyo kunakuwa hakuna usiri tena. Huyo jamaa nae ni fala alishindwa nini kujisogeza hata bwagamoyo au mji kasoro bahari alafanye yake kisha arudi dar. Dar ni ndogo sana kufanya huo upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…