Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
HaleluyaMkuu, mke wa mtu ni simu.
Uchungu wa kusalitiwa usikie kwa mtu tu.
Halafu nimeokoka sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaleluyaMkuu, mke wa mtu ni simu.
Uchungu wa kusalitiwa usikie kwa mtu tu.
Halafu nimeokoka sasa.
Wataalam wanasema uzuri wa mwanamke unambeba kwa siku tisini mkiwa naye, baada ya hapo ni kile anacho deliver ndo kinambeba kwenye mahusianoNaishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.
Nikiwa naingia KMKM recreation centre kwa miguu, getini ikanipita gari aina ya Volkswagen polo kwa kasi ikiendeshwa na binti mmoja mlimbwende. Nilivyofika ndani nikamkuta bidada analia kwa uchungu, wahudumu na wateja wengine wakawa wanamshangaa! Akaagiza chupa ya wine. Nikawa namu-observe kwa takribani nusu saa. Baadaye nikamuita dada aliyemuhudumia na kukwambia nitalipia ile chupa ya wine. Mhudumu akaenda kukwambia ila dada hakujibu chochote.
Akaonekana amenipuuza na kuendelea kunywa ile wine kwa kasi. Baada ya dk 20 hivi, nikiwa nimeinamia simu yangu yule dada akahamia mezani kwangu! Tukasalimiana, akaomba kukaa nikamruhusu, kabla hajaanza kujieleza nikamwambia asubiri, nikamsihi aendelee kulia ili uchungu umtoke moyoni.
Aliyonieleza baada ya kumaliza kulia yanaogopesha. Anadai mume wake amebadilika sana, anatembea na binti mmoja wa saluni ambayo iko jirani na nyumbani kwao. Jamaa ameaga anaenda safari ya kikazi, baada ya mwanaume kupaki begi la safari, mkewe (ambaye ndio huyu dada) akakuta pair ya viatu vya kike na iphone full boxed, mkewe alikuwa anamuwekea mumewe makoti ya baridi kwasababu jamaa aliaga anaenda Arusha, wakati mkewe anaweka hayo Makoti jamaa alikuwa ametoka.
Jamaa alivyorudi mke akanyamaza. Jamaa akaondoka leo asubuhi mkewe anamuangalia tu. Sasa mchana huu huyu dada akiwa na mawazo saluni akakutana na shosti yake, shosti mtu bila kujua, akamwambia huyu dada kwamba kakutana na mume wa huyu dada Mlimani City akajaribu kumsalimia lakini shemeji mtu hakumuona wala kumsikia. Mke mtu akatoka nje ya saluni akampigia mumewe akajifanya yeye ndio kamuona, mwanaume akaanza kujikanyaga! Akazima na simu (inaelekea anajipanga kudanganya zaidi).
Kumbe baadhi ya wanawake wa pale saluni wanajua jamaa anatoka na hako kabinti ka saluni na kabinti hakakuwepo leo!!! Wafanyakazi wenzake pale saluni wakasema walikuwa wanashindwa kumwambia wakihofia kuonekana wafitini! Mke kaunganisha dots kagundua kwamba ndio maana jamaa alikuwa na pair ya viatu na simu mpya!!!
Mkuu, umeharibu huku. Kama upo JF kakiri tu kwa mkeo wala usiendelee kudanganya.
Dada kalewa sana hapa, ingekuwa enzi zangu kabla sijaokoka leo pangechimbika.
Kanipa funguo za gari na handbag yake. Sijui anapoishi ila anasema akilewa sana nimtafute bodaboda anaitwa ......hapa nje ya KMKM atanielekeza kwake.
Sisi wanaume sijui tumerogwa na nani. Mwanamke mzuri hivi, msomi, mchapakazi, halafu anasalitiwa kindezi namna hii [emoji22]
NGOJA iendelee kunyesha tuone panapovuja ..
Hahaha umenilazimisha kucheka haha.Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo[emoji57]
Amen!Haleluya
Dah [emoji23][emoji23]Kama ukifanikiwa kuchukua namba nitumie nimfariji. Mie ni striker nae-deal na mipira iliyokufa
Mkuu pole sana.Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo[emoji57]
Tena noma na nusu mkuu.Noma sana!
[emoji848]Siku moja nikiwa namsifia jamaa yangu kuwa amechagua mke sahihi sana na mrembo, hii ni baada tu ya kuwatembelea nyumbani kwao kwa mara ya kwanza,...
alinijibu,.............."MKE au MUME NI MZURI SANA AKIWA WA MWENZIO".....
Kama vitu gani mkuu? [emoji28]huyo jamaa kuna vitu apati kwa mke ,tena ukute ni vitu vidogo tu.kavipata kwa mdada amsha amsha sasa anahama nyumba.
AhsanteeMkuu pole sana.
Ila usijitamkie maneno mabaya namna hiyo kwasababu mdomo/ulimi huumba (soma Mithali 18:21).
Pole sana ila maisha mengine ni lazima yaendelee. You just don't have an idea what life can offer hapo baadaye.
Labda kama anapewa ndogo na huyo dada wa saluni. Ila vingine vyote anaweza kuvipata kwa mkewehuyo jamaa kuna vitu apati kwa mke ,tena ukute ni vitu vidogo tu.kavipata kwa mdada amsha amsha sasa anahama nyumba.
Na wanawake huwa hawana kaba/usiri...unapotoka nae ni lazima atangaze mahusiano yenu ya siri kwa marafiki /mashoga zake ambao kwa asilimia kubwa nao huwa ni masnitch zake. Hivyo kunakuwa hakuna usiri tena. Huyo jamaa nae ni fala alishindwa nini kujisogeza hata bwagamoyo au mji kasoro bahari alafanye yake kisha arudi dar. Dar ni ndogo sana kufanya huo upuuziWenetu mnapotaka kuchepuka nendeni mbali sana, Kuchepuka na mwanamke wa mtaani ni kuwashushia heshima sana wake zetu.
Salama baharia? Nakuona kwenye tasnia yakoUrudi kumalizia episode 2...