Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
- Thread starter
-
- #141
Ushauri mzuri sana huu.Mapenzi sio ya kuchukulia serious, utakufa mapema. Ona sasa miaka 30 una BP, na hizo dawa huwa zinaua Figo. Jaribu kufanya mazoezi na ku focus na mambo mengine ili uachane na hizo dawa kwani umri bado no mdogo.
[emoji848][emoji848]Tatizo ni mazoea. Ni kama kununua gari jipya, unakuwa na mchecheto nayo baada ya muda unaona ya kawaida sana
Kila siku mnalala pamoja, mnakula pamoja etc, unamuona wa kawaida sana na ndio hapo unapugundua pia madhaifu mengi
Ndoa nyingi sana watu wanaishi kusogeza siku lakini mapenzi yalishaisha mapema sana
Dr aliniambia nikianza sitakiwi kuacha na huwa najaribu kuziacha hata siku 2,3 najionea kasheshe kweliMapenzi sio ya kuchukulia serious, utakufa mapema. Ona sasa miaka 30 una BP, na hizo dawa huwa zinaua Figo. Jaribu kufanya mazoezi na ku focus na mambo mengine ili uachane na hizo dawa kwani umri bado no mdogo.
Pole sana. I understand you.Mapenzi shwain nlijitia kupenda nikaambulia high BP nikiwa na miaka 30 hadi leo natembea na mafuko ya dawa kama mwathirika nangoja kupata mshituko tu nakata kamba naacha vitoto vyangu vidoooogo[emoji57]
Hutakiwi kuacha ghafla, tatizo kubwa linalokusumbua ni sonona, jaribu kukataa hiyo hali, sonona ikiisha mwili utaimarika na hata BP haitakusumbua.Dr aliniambia nikianza sitakiwi kuacha na huwa najaribu kuziacha hata siku 2,3 najionea kasheshe kweli
Ahsante sana na ujue hapo ni mume wa ndoa na watoto tunaoPole sana. I understand you.
[emoji28][emoji28]Kuna dada Hana marinda huko
Pole sana mkuu. I can feel your sorrows...Dr aliniambia nikianza sitakiwi kuacha na huwa najaribu kuziacha hata siku 2,3 najionea kasheshe kweli
Aisee [emoji24]Ahsante sana na ujue hapo ni mume wa ndoa na watoto tunao
Ndoa changa ndo inakutoa akili ama??Ndoa bado changa mkuu.
[emoji2][emoji2]Bro bado hukuweza kumsaidia.
Ilitakiwa mechi moja kali ya ugenini.
ndio tiba yake bidada.
Machozi ya Mwanamke yanaweza kukuponya au KUKUANGAMIZABaada ya kuwa mtu mzima, hata siku moja siwezi kuamini machozi ya mwanamke kwa haraka haraka!
Hakika mkuu.Machozi ya Mwanamke yanaweza kukuponya au KUKUANGAMIZA
Sisi wanaume (baadhi yetu) tumeshindikana aisee [emoji119][emoji28]So sad... Pole yake ila wanaume [emoji119][emoji119]
[emoji848][emoji848]Kama yupo bize na kazi hatoi mzigo je tatizo wanawake wengi wanaongea uongo ili waonewe huruma na kweli wana take advantage kwenye hilo.