Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Mapenzi sio ya kuchukulia serious, utakufa mapema. Ona sasa miaka 30 una BP, na hizo dawa huwa zinaua Figo. Jaribu kufanya mazoezi na ku focus na mambo mengine ili uachane na hizo dawa kwani umri bado no mdogo.
Ushauri mzuri sana huu.
 
Tatizo ni mazoea. Ni kama kununua gari jipya, unakuwa na mchecheto nayo baada ya muda unaona ya kawaida sana
Kila siku mnalala pamoja, mnakula pamoja etc, unamuona wa kawaida sana na ndio hapo unapugundua pia madhaifu mengi
Ndoa nyingi sana watu wanaishi kusogeza siku lakini mapenzi yalishaisha mapema sana
[emoji848][emoji848]
 
Mapenzi sio ya kuchukulia serious, utakufa mapema. Ona sasa miaka 30 una BP, na hizo dawa huwa zinaua Figo. Jaribu kufanya mazoezi na ku focus na mambo mengine ili uachane na hizo dawa kwani umri bado no mdogo.
Dr aliniambia nikianza sitakiwi kuacha na huwa najaribu kuziacha hata siku 2,3 najionea kasheshe kweli
 
Bro bado hukuweza kumsaidia.
Ilitakiwa mechi moja kali ya ugenini.
ndio tiba yake bidada.
 
Kama yupo bize na kazi hatoi mzigo je tatizo wanawake wengi wanaongea uongo ili waonewe huruma na kweli wana take advantage kwenye hilo.
 
Back
Top Bottom