Kwako mume wa huyu dada mwenye VOLKSWAGEN POLO

Mkuu, mimi mwenyewe born town. Niko makini kuliko unavyodhani. Nimeshafanya due deligence ya kutosha na nimejiridhisha kwamba huyu sio tapeli.
Haupo makini amini hivyo. Ungekua makini ungejiuliza uliona wapi mwanaume anabeba zawadi za viatu vya kike.......? Tena hiyo haitoshi anaenda navyo kwa mkewe nyumbani ili akampe mchepuko hahaha.

Mzee kwenye hiyo story bado hauna unacho kijua hadi kufikia hatua ya kuwalaumu wanaume na kutuhukumu
 
La mwisho kukushauri..., Hakunaga mwanamke alie pita vyuo vikuu na akapata stress za kizembe hivyo.

Wanawake walio pita vyuo hawana cha kupoteza kwenye mapenzi wapo kimaslahi zaidi.

Utamstua moyo wake kama hautaweza kumpa kitu anacho tarajia kutoka kwako.

Na ni kutokana na Mapito yao ya vyuoni wanachezea sana mbupu kiasi kwamba mapenzi kwao ni kitu kidogo
 
Sawa.
 
Pengine huyo slut ndio aliyeanzisha kutoa mbwa nje then mwana anafanya counter offensive huwezi jua . Usihukumu kwa kusikiliza upande mmoja
 
Mambo haya uwa ayajali elimu, uwezo, utajiri au umasikini chini kukiwaka motrooo bas mtu anakuwa chizi Kwa mda.
 
Mwambie awe jasiri kama Zuchu!

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu, mke wa mtu ni simu.

Uchungu wa kusalitiwa usikie kwa mtu tu.

Halafu nimeokoka sasa.
Umekosea kumsifia mke na kumlaumu huyo jamaa kwa kusaliti mwanamke mrembo wa namna hiyo.

Mwanaume mzoefu kama unavyojisifia hauwezi kustaajabu mambo hayo ambayo kwa wanaume tumeumbiwa.

Mwanamke mrembo unapomuoa na kuishi naye kwa muda flani, urembo wake hufubaa machoni mwako, hivyo kupelekea macho yako pilu pilu kuanza kuangazia warembo wengine.

Wakati hali hiyo inapokutokea, urembo wa mkeo huwa haujapungua machoni mwa watu wengine kama unavyomuona wewe, saazingine huwa umeongezeka maradufu na kuonekana ni mkali kishenzi.

Ndiyo maana kuna usemi usemao: ... 'Unachokiona cha nini, wenzako wanawaza watakipata lini'...
 
Mke mwema anatoka kwa bwana. MUNGU kakuletea mke huyo hapo uchukue mzigo unaanza kusakama mwanaume mwenzako ambaye nae amekwenda tafuta mke aliyepangiwa na bwana.
 
Noted, mkuu.
 
Mke mwema anatoka kwa bwana. MUNGU kakuletea mke huyo hapo uchukue mzigo unaanza kusakama mwanaume mwenzako ambaye nae amekwenda tafuta mke aliyepangiwa na bwana.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aisee!!!
 
Una roho nzuri, ningekua mm hapo ningemfariji huku nawaza yangu kichwani kwenda kumu lay down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…