Aidanna
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 1,810
- 2,844
Kwaiyo na wewe upo kwenye kundi la walioshindikana Amicus CuriaeSisi wanaume (baadhi yetu) tumeshindikana aisee [emoji119][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwaiyo na wewe upo kwenye kundi la walioshindikana Amicus CuriaeSisi wanaume (baadhi yetu) tumeshindikana aisee [emoji119][emoji28]
Hapana mkuu, pengine umeninukuu vibaya [emoji28]Kwaiyo na wewe upo kwenye kundi la walioshindikana Amicus Curiae
Haupo makini amini hivyo. Ungekua makini ungejiuliza uliona wapi mwanaume anabeba zawadi za viatu vya kike.......? Tena hiyo haitoshi anaenda navyo kwa mkewe nyumbani ili akampe mchepuko hahaha.Mkuu, mimi mwenyewe born town. Niko makini kuliko unavyodhani. Nimeshafanya due deligence ya kutosha na nimejiridhisha kwamba huyu sio tapeli.
Sawa.Haupo makini amini hivyo. Ungekua makini ungejiuliza uliona wapi mwanaume anabeba zawadi za viatu vya kike.......? Tena hiyo haitoshi anaenda navyo kwa mkewe nyumbani ili akampe mchepuko hahaha.
Mzee kwenye hiyo story bado hauna unacho kijua hadi kufikia hatua ya kuwalaumu wanaume na kutuhukumu
Inawezekana kabisa mkuu.Pengine huyo slut ndio aliyeanzisha kutoa mbwa nje then mwana anafanya counter offensive huwezi jua . Usihukumu kwa kusikiliza upande mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23]Jifanye kiboro dinda tu. Utavunjwa duka hilo, jifanye una nyege kama za mbwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawasawa.Upande mmoja wa machozi kwa wine umepatikana.Bado wa iPhone na baridi ya Arusha.
Hell no!Likely huu ni utungaji au insha tulizokuwa tunaandika shule za msingi.
Mwambie awe jasiri kama Zuchu!Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji wangu mmoja mjeda aliyetaka kunidhulumu kodi na wadau mkanipa ushauri murua kabisa na j3 naenda kulipwa pesa yangu.
Nikiwa naingia KMKM recreation centre kwa miguu, getini ikanipita gari aina ya Volkswagen polo kwa kasi ikiendeshwa na binti mmoja mlimbwende. Nilivyofika ndani nikamkuta bidada analia kwa uchungu, wahudumu na wateja wengine wakawa wanamshangaa! Akaagiza chupa ya wine. Nikawa namu-observe kwa takribani nusu saa. Baadaye nikamuita dada aliyemuhudumia na kukwambia nitalipia ile chupa ya wine. Mhudumu akaenda kukwambia ila dada hakujibu chochote.
Akaonekana amenipuuza na kuendelea kunywa ile wine kwa kasi. Baada ya dk 20 hivi, nikiwa nimeinamia simu yangu yule dada akahamia mezani kwangu! Tukasalimiana, akaomba kukaa nikamruhusu, kabla hajaanza kujieleza nikamwambia asubiri, nikamsihi aendelee kulia ili uchungu umtoke moyoni.
Aliyonieleza baada ya kumaliza kulia yanaogopesha. Anadai mume wake amebadilika sana, anatembea na binti mmoja wa saluni ambayo iko jirani na nyumbani kwao. Jamaa ameaga anaenda safari ya kikazi, baada ya mwanaume kupaki begi la safari, mkewe (ambaye ndio huyu dada) akakuta pair ya viatu vya kike na iphone full boxed, mkewe alikuwa anamuwekea mumewe makoti ya baridi kwasababu jamaa aliaga anaenda Arusha, wakati mkewe anaweka hayo Makoti jamaa alikuwa ametoka.
Jamaa alivyorudi mke akanyamaza. Jamaa akaondoka leo asubuhi mkewe anamuangalia tu. Sasa mchana huu huyu dada akiwa na mawazo saluni akakutana na shosti yake, shosti mtu bila kujua, akamwambia huyu dada kwamba kakutana na mume wa huyu dada Mlimani City akajaribu kumsalimia lakini shemeji mtu hakumuona wala kumsikia. Mke mtu akatoka nje ya saluni akampigia mumewe akajifanya yeye ndio kamuona, mwanaume akaanza kujikanyaga! Akazima na simu (inaelekea anajipanga kudanganya zaidi).
Kumbe baadhi ya wanawake wa pale saluni wanajua jamaa anatoka na hako kabinti ka saluni na kabinti hakakuwepo leo!!! Wafanyakazi wenzake pale saluni wakasema walikuwa wanashindwa kumwambia wakihofia kuonekana wafitini! Mke kaunganisha dots kagundua kwamba ndio maana jamaa alikuwa na pair ya viatu na simu mpya!!!
Mkuu, umeharibu huku. Kama upo JF kakiri tu kwa mkeo wala usiendelee kudanganya.
Dada kalewa sana hapa, ingekuwa enzi zangu kabla sijaokoka leo pangechimbika.
Kanipa funguo za gari na handbag yake. Sijui anapoishi ila anasema akilewa sana nimtafute bodaboda anaitwa ......hapa nje ya KMKM atanielekeza kwake.
Sisi wanaume sijui tumerogwa na nani. Mwanamke mzuri hivi, msomi, mchapakazi, halafu anasalitiwa kindezi namna hii [emoji22]
NGOJA iendelee kunyesha tuone panapovuja ..
[emoji28][emoji28]Mambo haya uwa ayajali elimu, uwezo, utajiri au umasikini chini kukiwaka motrooo bas mtu anakuwa chizi Kwa mda.
Umekosea kumsifia mke na kumlaumu huyo jamaa kwa kusaliti mwanamke mrembo wa namna hiyo.Mkuu, mke wa mtu ni simu.
Uchungu wa kusalitiwa usikie kwa mtu tu.
Halafu nimeokoka sasa.
Noted, mkuu.Umekosea kumsifia mke na kumlaumu huyo jamaa kwa kusaliti mwanamke mrembo wa namna hiyo.
Mwanaume mzoefu kama unavyojisifia hauwezi kustaajabu mambo hayo ambayo kwa wanaume tumeumbiwa.
Mwanamke mrembo unapomuoa na kuishi naye kwa muda flani, urembo wake hufubaa machoni mwako, hivyo kupelekea macho yako pilu pilu kuanza kuangazia warembo wengine.
Wakati hali hiyo inapokutokea, urembo wa mkeo huwa haujapungua machoni mwa watu wengine kama unavyomuona wewe, saazingine huwa umeongezeka maradufu na kuonekana ni mkali kishenzi.
Ndiyo maana kuna usemi usemao: ... 'Unachokiona cha nini, wenzako wanawaza watakipata lini'...
[emoji23][emoji23][emoji23]Mke mwema anatoka kwa bwana. MUNGU kakuletea mke huyo hapo uchukue mzigo unaanza kusakama mwanaume mwenzako ambaye nae amekwenda tafuta mke aliyepangiwa na bwana.
Alinilipa mkuu.Mjeshi alikulipa kodi yako?!