Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nipe namba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwema dadaMie mzima kabisa mdogo wangu. Kwema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]LEO mmeamua kushikana uchawi
Umesahau namba 4 na usafi wa mwiliMwanamke ana sifa kuu tatu
1. Anaheshima
2. Mzuri Jikoni
3. Mtundu Kitandani
Duh!Mwanamke ana sifa kuu tatu
1. Anaheshima
2. Mzuri Jikoni
3. Mtundu Kitandani
Wallah wanawake wa Tanga wanajua kupika
Kuna mama mmoja huyo ni hatar tupu...hata maji ya kunywa anatia nazi na ilik.
Denda lake linaambatana na tangawizi
High thinking capacity!Sipati picha kwenye papuchi yake, unaweza kukuta vipande vya karafuu, kachumbari na ndimu.
NAWAELEWA SANA MNAOJIONGEZA
Jitazame wewe mwenyewe. Je, unaingia kwenye aina ipi kati ya hizo hapo chini?
Mimi niko namba 3 japo kuna wakati huwa nadondokea namba 2 pia
View attachment 705433