Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Wanaume wa dar. Wanaume wana dressing table, mwanaume ana lip bum.. wtfMkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!
Mnatudhalilisha.
Vv
Hahaah blueprint una ugomvi na watu?Mkeo anakula chipsi nawe unakula chipsi
Hahaha ngoja wanaume wa Dar wajeHahaah blueprint una ugomvi na watu?
[HASHTAG]#what[/HASHTAG] is the difference?Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!
Mnatudhalilisha.
Vv
Uvijuaje hivyo vipondozi au na wewe ni mwanaume wa dar?Wanaume wa dar. Wanaume wana dressing table, mwanaume ana lip bum.. wtf
Mm nimevijua kwa demu wangu.. ila nilishangaa sana kuviona kwa mwanaume wa dar wkt nimekuja darUvijuaje hivyo vipondozi au na wewe ni mwanaume wa dar?
Ulienda kwa mwanaume wa dar kufanya nini kama wewe sio mwanamke wa mikoani?Mm nimevijua kwa demu wangu.. ila nilishangaa sana kuviona kwa mwanaume wa dar wkt nimekuja dar
Nigga please, tuheshimiane. Mm ni mwanaume sawa, nina masela kibao ninaofanya nao kazi, wengine wako dar wengine mikoa mingine. So yeah huwa natembelea machiz wangu ninapokuwa na nafasi, ktk kutembele baadhi ha machiz wa dar ndio nimewakuta na mambo hizo.Ulienda kwa mwanaume wa dar kufanya nini kama wewe sio mwanamke wa mikoani?
Sasa mbona unawadharau wanaume wenzako kwa kuwatenga kwa matabaka ya mikoaNigga please, tuheshimiane. Mm ni mwanaume sawa, nina masela kibao ninaofanya nao kazi, wengine wako dar wengine mikoa mingine. So yeah huwa natembelea machiz wangu ninapokuwa na nafasi, ktk kutembele baadhi ha machiz wa dar ndio nimewakuta na mambo hizo.
Sikiliza wimbo wa "MBADO" Mr. EbboMkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!
Mnatudhalilisha.
Vv