Kwako mwanaume

Kwako mwanaume

Vyamavingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
5,818
Reaction score
5,555
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!

Mnatudhalilisha.

Vv
 
kamwambie banana zoro maneno hayo mtaelewana
 
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!

Mnatudhalilisha.

Vv
[HASHTAG]#what[/HASHTAG] is the difference?
nakupa heko
 
Ulienda kwa mwanaume wa dar kufanya nini kama wewe sio mwanamke wa mikoani?
Nigga please, tuheshimiane. Mm ni mwanaume sawa, nina masela kibao ninaofanya nao kazi, wengine wako dar wengine mikoa mingine. So yeah huwa natembelea machiz wangu ninapokuwa na nafasi, ktk kutembele baadhi ha machiz wa dar ndio nimewakuta na mambo hizo.
 
Sasa mbona unawadharau wanaume wenzako kwa kuwatenga kwa matabaka ya mikoa
 
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!

Mnatudhalilisha.

Vv
Sikiliza wimbo wa "MBADO" Mr. Ebbo
 
Aiseee mambo za kugombania dressing table
 
Back
Top Bottom