Kwako mwanaume

Kwako mwanaume

Sema kweli
ndo kilichobaki, ukiona toto la kiume linasifiwa na wanaume watu wazima kwamba anakata kalio kama mama yake na yeye anazidi kulizungusha huku ukute kajaaliwa nundu unadhani kifuatacho ITV ni nini!
 
mwanaume wa dar akila kuku wa kienyeji kutoka huku mkoani anang'ooka meno halafu ukiwatishia mende wanalia
 
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele!

Mnatudhalilisha.

Vv
Mkioana kwa hobby zinazofanana namna hii inapendeza
 
Mkeo anatiwa mimba nawewe unataka kutiwa mimba .....@kwa hisani ya yule mwanaume aliyetaka kubeba mimba huku JF
 
Back
Top Bottom