Kwako mzizimkavu

Kwako mzizimkavu

dega

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
3,172
Reaction score
3,082
Nimeona nyuzi zako nying hapa ambazo daima zimejaa hekma busara na elimu aidha kuhusu magonjwa au tiba au kinga.Kwa kwel nimevutika na maarifa yako na chemchem yako. ninachotaka kujua jee una clinic ya tiba na ushaur ? Nakama unayo inapatikana sehem gani? Au ndo upo nje ya Nchi
 
Asante sana kwa maneno yako

mazuri bahati nzuri au mbaya mimi kwa sasa nipo nje laiti ningelikuwa huko nyumbani ningeweza kufunguwa clinic. Kama

una matatizo ya siri wasiliana na mimi kwa njia ya email barua ya pepe nitumie nitaweza kukusaidia kwanjia yoyote ile Email

yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com Ukiwa na matatizo yoyote yale kiafya nitumie barua kwa njia hiyo ya Email

asante.
 
Back
Top Bottom