Eric Cartman JF-Expert Member Joined May 21, 2009 Posts 11,966 Reaction score 11,218 Dec 31, 2021 #1 Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu.
Said Stuard Shily JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 2,396 Reaction score 2,108 Dec 31, 2021 #2 Naunga hoja
M Mwingereza JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 1,115 Reaction score 2,771 Dec 31, 2021 #3 CCM ni Chana cha wahuni. JK, Nakamba, Nape na Kinana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 31, 2021 #4 Ngoja tuone...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Dec 31, 2021 #5 Mawazo yake chama ni cha familia yao.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Dec 31, 2021 #6 Kilatha said: Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu. Click to expand... Chipukizi ni nini?
Kilatha said: Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi. CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina. Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania. Hakuna mwenye CCM kama chama ni mali ya kila mtu. Click to expand... Chipukizi ni nini?