Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .

Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri .

Huyu mkuu atakusaidia sana
Thanks Ndugu Rais
 
Magoti ana mikwara yule mshkaji alitaka kumkata mtu kichogo na kumnyonga pale pale watu magotiiii utauaa baba utauaaaa 🤣🤣🤣🤣
Nimwombea nafasi hii kwa Ndugu Rais kama ikimpendeza, ila akizingua , nitampiga shoo mpaka atasahau nyumbani kwake
 
Anadai Eti moyo wake, maini, ini na figo viko pamoja vimekaribiana, hivyo suala la kuchukua hatua, Huwa hajiulizi mara mbili😀
 
Huyo alitakiwa kuwa anapiga madogoli huko kwao majita, hamna kiongozi hapo
 
angeachana na media kulinda heshima yake, angefanya maamuzi kwa kutulia huko ofisini, tayari ameanza kuonekana kama kituko kitu ambacho kitamzibia riziki za kukaa kwenye sehemu nyeti huko asalini.
 
Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .

Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri .

Huyu mkuu atakusaidia sana
Thanks Ndugu Rais
akili anazo, ila kwa uzoefu gani wa uongozi, though namkubali sana yule jamaa. ndio maana alipata mke mrembo kume.
 
DC Mpeche mpeche anayemiliki chombooo🤣🤣🤣
 
akili anazo, ila kwa uzoefu gani wa uongozi, though namkubali sana yule jamaa. ndio maana alipata mke mrembo kume.
Nimecheka kijinga sana , uzoefu anao kwani amekaa jikoni mda gani ? Kama mshauri wa rais kwenye siasa ? Jamaa apewe nafasi ,ili awapige shoo mawaziri mbumbumbu period
 
Back
Top Bottom