4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Nimwombea nafasi hii kwa Ndugu Rais kama ikimpendeza, ila akizingua , nitampiga shoo mpaka atasahau nyumbani kwakeMagoti ana mikwara yule mshkaji alitaka kumkata mtu kichogo na kumnyonga pale pale watu magotiiii utauaa baba utauaaaa 🤣🤣🤣🤣
akili anazo, ila kwa uzoefu gani wa uongozi, though namkubali sana yule jamaa. ndio maana alipata mke mrembo kume.Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .
Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri .
Huyu mkuu atakusaidia sana
Thanks Ndugu Rais
DC Mpeche mpeche anayemiliki chombooo🤣🤣🤣Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa .
Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri .
Huyu mkuu atakusaidia sana
Thanks Ndugu Rais
Nimecheka kijinga sana , uzoefu anao kwani amekaa jikoni mda gani ? Kama mshauri wa rais kwenye siasa ? Jamaa apewe nafasi ,ili awapige shoo mawaziri mbumbumbu periodakili anazo, ila kwa uzoefu gani wa uongozi, though namkubali sana yule jamaa. ndio maana alipata mke mrembo kume.