Kwako ni dhambi ila kwangu sio dhambi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Dhambi ni jambo linalotokana na kwenda tofauti na Tamaduni/Dini ya mazingira yaliyokuzunguka.

Sasaivi tuna imani tofauti ulimwenguni kuna Uislamu, Ukristo, Upagani, Ujaini, Uyahudi, Shinto, Sikhism, Utao, Ubudha, Uhindu, Zoroastrianism n.k

Unaponiona nafanya kitu bila ya kuvunja sheria basi usiniingilie na kusema natenda dhambi. Wewe endelea na imani zako ila usidhubutu kunifundisha jinsi kuishi maisha yangu.

Unapoona nafanya mapenzi kabla ya Ndoa usithubutu kusema nazini, maana mimi sifanyi dhambi kwa imani yangu.

TUSIPANGIANE MAISHA.
 
Haya
 
Endelea kuwala tigo watoto wa watu alafu useme tusikuingilie...!!
 
Haha walokole kindani ndaki wanisamehe pia
Siwezi acha kunywa four cousin
Unaponiona nafanya kitu bila ya kuvunja sheria basi usiniingilie na kusema natenda dhambi. Wewe endelea na imani zako ila usidhubutu kunifundisha jinsi kuishi maisha yangu.
 
Endelea kuwala tigo watoto wa watu alafu useme tusikuingilie...!!
Astaghfirullah.

MKUU BANDIKO LANGU NIMEVAA UHUSIKA TU, ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ndiyooooo kubwa!
 
Sawa TUSIPANGIANE MAISHA,. Vipi ile ruksa ya Papa kwako ni dhambi au siyo dhambi?
 
Sawa TUSIPANGIANE MAISHA,. Vipi ile ruksa ya Papa kwako ni dhambi au siyo dhambi?
Astaghfirullah.

Mkuu kwa jinsi wanawake walivyowatamu siwezi kukubali Ruksa ya PAPA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Sheria za nchi zina mwisho
Kuna moto kule, huogopi??
Mkuu ukishakuwa mtu mzima kuna mambo huwezi kupangiwa.

Kwenye hili Bandiko nimevaa uhusika tu, ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Astaghfirullah.

Mkuu kwa jinsi wanawake walivyowatamu siwezi kukubali Ruksa ya PAPA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Gigy papa chamkundule anakuita boss nenda kazagamue

Sis hatukupangii... Hta video ikvujaa n nyie na gigy papa chamkundule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…