Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hiyo hapana, baki nayoUpagani Mkuu.
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kazi kwelkwel/job truetrueDhambi ni jambo linalotokana na kwenda tofauti na Tamaduni/Dini ya mazingira yaliyokuzunguka.
Sasaivi tuna imani tofauti ulimwenguni kuna Uislamu, Ukristo, Upagani, Ujaini, Uyahudi, Shinto, Sikhism, Utao, Ubudha, Uhindu, Zoroastrianism n.k
Unaponiona nafanya kitu bila ya kuvunja sheria basi usiniingilie na kusema natenda dhambi. Wewe endelea na imani zako ila usidhubutu kunifundisha jinsi kuishi maisha yangu.
Unapoona nafanya mapenzi kabla ya Ndoa usithubutu kusema nazini, maana mimi sifanyi dhambi kwa imani yangu.
TUSIPANGIANE MAISHA.
Dhambi ni jambo linalotokana na kwenda tofauti na Tamaduni/Dini ya mazingira yaliyokuzunguka.
Sasaivi tuna imani tofauti ulimwenguni kuna Uislamu, Ukristo, Upagani, Ujaini, Uyahudi, Shinto, Sikhism, Utao, Ubudha, Uhindu, Zoroastrianism n.k
Unaponiona nafanya kitu bila ya kuvunja sheria basi usiniingilie na kusema natenda dhambi. Wewe endelea na imani zako ila usidhubutu kunifundisha jinsi kuishi maisha yangu.
Unapoona nafanya mapenzi kabla ya Ndoa usithubutu kusema nazini, maana mimi sifanyi dhambi kwa imani yangu.
TUSIPANGIANE MAISHA.
Upo sahihi Mkuu, lakini kila mtu ana imani yake (IHESHIMIWE).Dhambi ni kwenda kinyume na Maagizo ya Mungu. Maagizo hayo tunayapata kwenye Biblia. Dhambi sio mtazamo na ndo maana kuna sheria za Mungu. Hata kama huamini katika maandiko matakatifu, bado unapaswa kujua kuna mambo ni dhambi na kuna mambo ni matendo mema. Huwezi kusema kwa mtazamo wangu kubaka sio dhambi.
Ndo maana ushoga unaenea kwasababu wao wanaamini “kwa mtazamo wao” wanachofanya sio dhambi.
DHAMBI SIO MTAZAMO.
Mm mwenyewe mkubwa over 62+Astaghfirullah.
Hivi kwenu kuna wakubwa kweli?
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
🤣🤣🤣🤣Dhambi ni jambo linalotokana na kwenda tofauti na Tamaduni/Dini ya mazingira yaliyokuzunguka.
Sasaivi tuna imani tofauti ulimwenguni kuna Uislamu, Ukristo, Upagani, Ujaini, Uyahudi, Shinto, Sikhism, Utao, Ubudha, Uhindu, Zoroastrianism n.k
Unaponiona nafanya kitu bila ya kuvunja sheria basi usiniingilie na kusema natenda dhambi. Wewe endelea na imani zako ila usidhubutu kunifundisha jinsi kuishi maisha yangu.
Unapoona nafanya mapenzi kabla ya Ndoa usithubutu kusema nazini, maana mimi sifanyi dhambi kwa imani yangu.
TUSIPANGIANE MAISHA.
Afrika Afrika Afrika Afrika. Sasa naamini ndiyo mnatoka utumwani .Dhambi ni jambo linalotokana na kwenda tofauti na Tamaduni/Dini ya mazingira yaliyokuzunguka.