Kwako ni dhambi ila kwangu sio dhambi

Kazi kwelkwel/job truetrue
 

Dhambi ni kwenda kinyume na Maagizo ya Mungu. Maagizo hayo tunayapata kwenye Biblia. Dhambi sio mtazamo na ndo maana kuna sheria za Mungu. Hata kama huamini katika maandiko matakatifu, bado unapaswa kujua kuna mambo ni dhambi na kuna mambo ni matendo mema. Huwezi kusema kwa mtazamo wangu kubaka sio dhambi.

Ndo maana ushoga unaenea kwasababu wao wanaamini “kwa mtazamo wao” wanachofanya sio dhambi.

DHAMBI SIO MTAZAMO.
 
Upo sahihi Mkuu, lakini kila mtu ana imani yake (IHESHIMIWE).

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
🤣🤣🤣🤣
 
Afrika Afrika Afrika Afrika. Sasa naamini ndiyo mnatoka utumwani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…