Kwako Nyani Ngabu, how deep

Hahahahahaha............... Ntakupigia haniii...

Mi bado junia sitizen mamii.....

Ndo kwanza niko zama za... Usiende mbali namiiiii.....

Hahahahaaa hapo kwenye neno mamii angalia sinia sitizen asikupige ngwala heheheee
Usiondoke mbali namiii ...... Mimi bado nakupendaa..... nakupenda wanipenda usiende mbali nami..... usiendeeeee......... usiondokee. .........
Halafu leti asi duu ze nidifuli zis taimu. ....
Kuna kiwanja kimoja kinaitwa Rodizo kioo mikocheni kati.... waonaje tukatafune mishkaki ya mamba hapo
or whichever you want.... maana Watu8 aliingia mitini. Nipe time babu au leo uko kantalamba safari ni?
 
Oups... Better that way....

Nikajua labda fisi mimi nimeangukiwa na mfupa mchana kweupeeee..............

Hahahahaaa hiyo ilikuwa bumping style ya Kasie na Nyani Ngabu huku mambo mpwito mpwitoo heheheeee babuu enzi za masantula ulikuwepo?
 

Rodizo kioo???? Yani na uchakaramu wangu sijawahi sikia hilo chimbo.

Ahsante kwa kunipa homuweki.....

Hivi we mrembo... na ujanja wangu ntaendaje kuishi Kantalamba huko wakati Wizara ya Fedha na Benki kuu ziko Daslam??? Hivi unaona Waziri wa fedha na Gavana wa Benki kuu hawana akili mpaka wajichimbie daslama??

Tutabanana hapahapa....

Hako kaofa andika kameshakubalika. Ila tu komrendi Nyani Ngabu asije akanihamishia kikojoleo changu usoni.....

Ewe njiwa ewe njiwaaaaaaa......................
 

Aah hizi simu za tachi ni shiida nilimaanisha Rodizo iko mikocheni kati........ sio kioo

Na usipoangalia atakufungia uwezo wako wa kukagua a kusajili timu mpya zinazoingia JF hehehehehee
Njiwa na apeleke salamu college park.....
 
Hehehehehe.... Ngoma ya Mpwita au masantula ipi??

Masantula aaah eeh masantula tucheze sote masantula aaah eeh masantula tuimbe sote masantula aah eeh masantula.... huo.
 
Aah hizi simu za tachi ni shiida nilimaanisha Rodizo iko mikocheni kati........ sio kioo

Na usipoangalia atakufungia uwezo wako wa kukagua a kusajili timu mpya zinazoingia JF hehehehehee
Hapo atasubiri sana. Hicho ni kipaji kanipa Mungu.

Afu si nshakukatazaga kutumia smatifoni zimeandikwa Tecno?

Sitacheza tena na wewe
 
Masantula aaah eeh masantula tucheze sote masantula aaah eeh masantula tuimbe sote masantula aah eeh masantula.... huo.
Tuimbe wote....
Turinge wote.....
Tucheze wotee...

Masantulaa... ngoma ya mpwita!!
 
Hapo atasubiri sana. Hicho ni kipaji kanipa Mungu.

Afu si nshakukatazaga kutumia smatifoni zimeandikwa Tecno?

Sitacheza tena na wewe

Hahahahahaa techno ile anayoitangaza miss Vanesa Mdee akiwa anaendesha boti baharini ndo naitumia naipenda tuu kwasababu ya lile tangazo.
 
Tuimbe wote....
Turinge wote.....
Tucheze wotee...

Masantulaa... ngoma ya mpwita!!

Hahahahaa kumbe na wewe wamoo eeh basi kila ijumaa mie hizo ndo ngoma zangu nakumbuka enzi zetu miaka ilee
 
Jiandae kwa surprise.... Najua ntakavokukamata.

Unahabari nimezungushiwa kamera hadi nikiwa maliwato......? Angalia usije uka-surprise-ziwa wewe...... si unajua Obama alivo lakini simple but ...... anatembea mtaani ila bullet proof mita 300......
Sijui huko ni usiku au kumekucha kama huku nilipo ili nikwambie asubuhi njema au usiku mwema.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…