Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasie umemuona wapi Nyani Ngabu leo? Namtafuta sana
Ooh! Kumbe mnawasapikaga eeh!Nenda whatsapp amejaa tele, kama humuoni online basi ujue amekuhide. Subiri akimaliza kuchat na watu wake atakusemesha. Wee mtumie msg akiisoma utaona tiki mbili za blue. Mie mwenyewe sijawasiliana nae wala sijamjibu msg zake tangu James aje. Akiondoka James ndo ntamtafuta 🙂🙂
Kwani wewe ulijitoa ulingoni?Kasinde na Nyani Ngabu tuwafungishe ndoa tu sasa
Wivu sina ila roho inaumaKwani wewe ulijitoa ulingoni?
Kwani wewe ulijitoa ulingoni?
Nyani naona mahaba mahabani, ooh poor valeTotoz....
Wivu sina ila roho inauma
Nyani naona mahaba mahabani, ooh poor vale
Mmmmh valey nae mwingi hata hasomeki, kweli mmekutana.Huyo si anaye Uran wake.....au washapigana chini?
Kama usemayo ni kweli basi nizalie mtoto ili niaminiBabu hujanikosea. ....Ukinitaka radhi naweza kuchukuliwa na Malaika Gabriel haraka kabla ya muda. ....
Wajukuu wa huku A Town wanakusalimia. ..
Vitukuu pia vinakusalimia. ....
Babu ktk ubora wako, shikamooo!Kama usemayo ni kweli basi nizalie mtoto ili niamini
Mahabaaaaa....Babu ktk ubora wako, shikamooo!
Anansingizia tu huyo,Mmmmh valey nae mwingi hata hasomeki, kweli mmekutana.
Ah kwenda zako ukoKaazi kweli kweli.....