kidole cha simba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2022
- 1,994
- 2,510
Katika makala yako kuhusu Mayahudi kumkataa Yesu, moja ya sababu umesema ni kwa sababu Yesu huyu tumjuae sisi hakuzaliwa kutoka kwa ukoo wa Daud kama ilivotabiriwa bali alizaliwa kutokana na Roho Mtakatifu litu ambacho hakikutabiriwa hivyo.
Sasa swali langu ni kwamba, katika akili ya kawaida nani special kati ya Yesu aliyetokana na Roho Mtakatifu {kiumbe toka mbinguni} na Yesu aliyetokana na ukoo wa Daud {ukoo wa viumbe wa kibinadam wa hapa Duniani}, ok?
Halafu kumbuka Mayahudi pamoja na baraka zote walizonazo lakini hakuna taifa lililomsumbua kichwa Mungu kama hizi chalii. Kwani kuna Myahudi alishawai kupigana mieleka na Mungu mpaka Mungu akamvunja mfupa wa mguu ndiyo akamwachia na akambariki kwamba kuanzia wakati huo ataitwa Israil (ukitaka kuwajua vizuri hawa jamaa soma QURAN - suratul ban-israil)?
Pia wakati wa Sodoma na Gomora walitaka kuwalawiti hadi malaika! Malaika wenyewe walikuwa watatu Gibril, Michail na Islafil kama sijakosea jina, pia kumbuka Musa alipanda mlima Sinai kuchukua amri za Mungu aliposhuka alikuta Mayahudi yakiabudu sanamu.
Musa alikasirika mno, lakini hata Yesu siku ya Pentekoste aliwaambia Mayahudi, "Msiponishangilia mimi basi hata mawe yatanishangilia". So ndugu Robert hawa machalii wabishi kinomanoma, usiwaamini sana."