Kwako Rais wa Zanzibar Mwinyi Jr, nipo na jambo langu na wewe

Kwako Rais wa Zanzibar Mwinyi Jr, nipo na jambo langu na wewe

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu, andiko hili ni fupi sana na nimatumaini yangu Mungu anabariki popote mlipo.

Leo nipo na ujumbe kwa Rais wa Zanzibar, na kabla ya ujumbe, kwanza nimpe pole kwa kuondokewa na baba mzazi, ambaye kwetu sisi Watanzania tunamtambua kama baba wa pili wa nchi hii. Pia, nimtakie mfungo mtukufu. Tanzania hatuna dini wala kabila.

Wakilisho langu kwa Mheshimiwa Rais binafsi ni Mkristo hai. Nategemea kuja Zanzibar mapema sana kabla ya kumaliza mwezi mtukufu. Nitakula, nitakunywa, halafu hao vijana nimewaona wamchapa mijeredi, waniguse nitalala ikulu kwako.

Nawakilisha.
 
Ukifika, omba lift kwenye defender Ili ufikishwe upatakapo Kwa haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom