Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Hawa NI mbung'o pro maxUnahiso baada ya kusema hayo tumwkuelewa..? Inshortcut wewe ni kunguni afadhali ya chawa
Una uhakika utapiga Kura October?Katika wale watanzania ambao watapiga Kura kukuchagua wewe basi na Mimi ni mmoja wapo kukuchagua wewe Rais wangu Mama yetu mlezi Samia Suluhu Hassan.
Sio uchawa Ila nimezaliwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi.
Ruksa kutoa matusi wale wa upande wa pili mana mnalilia uongozi na hampati huo uongozi.
Blue
Nyeusi
Kijani
Manjano
(TANZANIA)
Mzee wangu daah kunguni ni mdudu mwenye mauzi SaaanaUnahiso baada ya kusema hayo tumwkuelewa..? Inshortcut wewe ni kunguni afadhali ya chawa
Bila shakaUna uhakika utapiga Kura October?
Kama ndani ya chama Tu mmekwenda Kwa azimio.hiyo October inakuaje?
Hatujafika October tayari hatunae mdude mitaani SASA hiyo October mambo si ndio atakuwa Balaa?
🫡Unajidharaulisha mkuu, acha iz mambo za kiboya.