DOKEZO Kwako RPC; Mama huyu anayeuza dawa za kulevya Mbezi Beach anaharibu kizazi na kuhifadhi mali za wizi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe jiulize kwa nini kipindi hiki na sio cha 2015 -2021 kuna wimbi la matajiri wenye biashara za kawaida ila vitu vya dhamani kuliko mtaji???
Na Kuna wimbia la matajiri kuanzia miaka 19 aisee 😀 😀 hii mishe inawaingizia sana hela aisee Kuna kipindi mwaka juzi na mie nilitaka kuingia humu sema nikaona miyeyusho nisije kufa kibudu 😀😀😀
 
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach

Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada

Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi

Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah

Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji

Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee

Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni

Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk

Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa

N kama vile wanaserikali yaoo ama lah

Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua

Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka

Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia

Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc

Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu

Mungu ibariki tanzania
Safi sana Diddy kwa kufichua maovu ,umeileta taarifa humu basi jua huyo dada ataisoma namba.
 
Na Kuna wimbia la matajiri kuanzia miaka 19 aisee 😀 😀 hii mishe inawaingizia sana hela aisee Kuna kipindi mwaka juzi na mie nilitaka kuingia humu sema nikaona miyeyusho nisije kufa kibudu 😀😀😀
Nazungumzia kenya mkuu😂😂😂😂😂😂
 
Nazungumzia kenya mkuu😂😂😂😂😂😂
Kuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale posta
 
Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach

Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada

Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi

Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah

Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji

Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee

Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni

Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk

Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa

N kama vile wanaserikali yaoo ama lah

Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua

Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka

Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia

Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc

Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu

Mungu ibariki tanzania
Na ukiambiwa ni mradi wa RPC alianzisha baada ya kuona Abdul akitembea na makapu ya fedha kuhonga watu bila kificho utasemaje? Utawala wa juu ukiongoza kwa rushwa unadhani chini kuna anayejali?
 
Mimi huwa naumia sana kuona vibaka wanaumiza watu utazan serikali haipo
Serikali gani? Unavyoona wewe kuna serikali? Hawa wapiga dili walijinyakulia madaraka ndiyo unawaita ni serikali? Nchi imefikia hatua watu wanasema fulani hawezi kuwa kiongozi kwa sababu ni mkweli sana huoni ni balaa?
 
Kuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale posta
Mtatukanwa sana taka taka hamna pesa mbwaaa na mengineyo mengi tu , na vijana watavuliwa ubingwa sana kwa tamaa za kijinga
 
Kuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale posta
Umenikumbusha enzi za billicanas kile kichichoro chetu aisee hakuna kinashindikana bongooo

Vibandaaa VINNE vinaamua hatimae yakoo upatee kazi wapii ukasomee wapiii na watu wametoboaaaaaaa

MUNGU awalindee sana wale jamaa aisee kama wako haiii..ingawa wali Fanya ufadhihinaa lakini walisaidia familia nyingi sanaa
 
Serikali gani? Unavyoona wewe kuna serikali? Hawa wapiga dili walijinyakulia madaraka ndiyo unawaita ni serikali? Nchi imefikia hatua watu wanasema fulani hawezi kuwa kiongozi kwa sababu ni mkweli sana huoni ni balaa?
Dah mtumish nani alaumiwe?
 
Back
Top Bottom