Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Rudi shuleNKAHISI mwamba anataka kytusahaulishaa nn YAAN nilikuwa choon kama dk 7 sikojii sinyi nasikilizia kama KUNA tukio nkarudi mezan weeweee
Na Kuna wimbia la matajiri kuanzia miaka 19 aisee 😀 😀 hii mishe inawaingizia sana hela aisee Kuna kipindi mwaka juzi na mie nilitaka kuingia humu sema nikaona miyeyusho nisije kufa kibudu 😀😀😀Wewe jiulize kwa nini kipindi hiki na sio cha 2015 -2021 kuna wimbi la matajiri wenye biashara za kawaida ila vitu vya dhamani kuliko mtaji???
Ngoja tufute tu 😁Hataree mkuu usifike hukoo ngoja ningonjee kwa mwamposaa kula dosi
Safi sana Diddy kwa kufichua maovu ,umeileta taarifa humu basi jua huyo dada ataisoma namba.Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania
Nazungumzia kenya mkuu😂😂😂😂😂😂Na Kuna wimbia la matajiri kuanzia miaka 19 aisee 😀 😀 hii mishe inawaingizia sana hela aisee Kuna kipindi mwaka juzi na mie nilitaka kuingia humu sema nikaona miyeyusho nisije kufa kibudu 😀😀😀
Kuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale postaNazungumzia kenya mkuu😂😂😂😂😂😂
Na ukiambiwa ni mradi wa RPC alianzisha baada ya kuona Abdul akitembea na makapu ya fedha kuhonga watu bila kificho utasemaje? Utawala wa juu ukiongoza kwa rushwa unadhani chini kuna anayejali?Anaitwa mama Habi. Anaishi maeneo ya Makazi Mapya Mbezi Beach
Serikali za mitaa wanamjua na wananchi walishapeleka taarifa zote juu ya mtandao wa huyu dada
Huyu dada anaishi na wahuni wa Kawe wanaokaba na kuumiza watu. Wanavamia usiku nyumba za watu na kuwajeruhi kabla ya kuwaibia tv, simu nk. Baada ya kuiba hukimbiza nyumbani kwa huyu dada na kuvihifadhi
Polisi Kawe wameshajulishwa na wameishia kwenda pale na kuondoka kila wiki sasa sijui wanafanya ukaguzi ama lah
Wiki iliyopita nyumba zaidi ya 4 zimeibiwa simu tv na baadhi ya viooo vya magari na bajaji
Huyu dada alishawahi kukamatwa na alipotoka aliwambiwa watu yeye ni mwamba na hakuna wa kumfunga kamwee
Sasa kinachoendelea huyu dada amefungua pub kama kujificha na kuwalinda wale wahuni
Ukufika palee unaonaa wahuni wakikaa nje na kuvuta bangi nk
Majuzi tu wamepiga na kupora watu saaa saba mchana mazimaaaa
N kama vile wanaserikali yaoo ama lah
Tunaomba RPC, Hili suala polisi Kawe wanajua
Vijana wameathirika hivi tunaandika kuna makundi yanatoka upande wa JK shule kwenda kwa huyu dada kununua skanka
Na wanapovuta zikiwapanda wanaanza kuwangangania watu ovyo na kuwaibia
Vijana wanangamia tunaomba okoa vizazi vya mbezi beach mh rpc
Kwa habari zaidi kuwapata wasilianen na serkl za mitaa watawaeleza kila kitu juu ya uchafu wa hii sehemu ya dada yetu
Mungu ibariki tanzania
Itapita Operation kimbunga huko kawe maana ushatumbua JIPU kila mtu atajifanya anafanya kazi.Wanapiga ngeta mpaka mchana bana wanakimbilia nyumban kwa dada aisee tulipo sipoo
Mwam nae ni pipa na mfuniko tu bora ninywe konyagiUsifutee kula dosi ya mafuta ya mwamposaa awakuon
Wanakula ndumu?Wanapiga ngeta mpaka mchana bana wanakimbilia nyumban kwa dada aisee tulipo sipoo
Serikali gani? Unavyoona wewe kuna serikali? Hawa wapiga dili walijinyakulia madaraka ndiyo unawaita ni serikali? Nchi imefikia hatua watu wanasema fulani hawezi kuwa kiongozi kwa sababu ni mkweli sana huoni ni balaa?Mimi huwa naumia sana kuona vibaka wanaumiza watu utazan serikali haipo
Mtatukanwa sana taka taka hamna pesa mbwaaa na mengineyo mengi tu , na vijana watavuliwa ubingwa sana kwa tamaa za kijingaKuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale posta
Umenikumbusha enzi za billicanas kile kichichoro chetu aisee hakuna kinashindikana bongoooKuna mwanangu mmoja hivi alikuwa na hela huyo nikajiuliza hela anatoa wapi Kila siku kumbe ni mdukuzi sasa serikali ya Kenya baada ya kumjua now si kakimbilia bongo mwenzie mmoja kafariki ndio ilikuwa michezo Yao kudukua pesa za madon na mawaziri aisee scammers wanapiga sana hela mixer wazee wa ngada na wazeee wa dojo lao pale posta
Anawapiga sana nyumbu pesaMwam nae ni pipa na mfuniko tu bora ninywe konyagi
Dah mtumish nani alaumiwe?Serikali gani? Unavyoona wewe kuna serikali? Hawa wapiga dili walijinyakulia madaraka ndiyo unawaita ni serikali? Nchi imefikia hatua watu wanasema fulani hawezi kuwa kiongozi kwa sababu ni mkweli sana huoni ni balaa?