Kwako Waziri Gwajima, suala hili la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii, ndoa nyingi zinavunjika

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
1,020
Reaction score
2,716
Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Niende moja kwa moja kwenye dhumuni ya kukutafuta. Kuna hili swala la ukatili wa kijinsia ambalo limekuwa tatizo katika jamii linalopelea ndoa nyingi kuvunjika kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa hivi karibuni na pia hupelekea magongwa mengi na mmomonyoko wa maadili kwa vijana.

Swala lenyewe ni jimai (mpenzi) kinyume na maumbile. Natambua unayafahamu madhara ya kitendo hiki.

Sasa basi lengo kuu la kutatafuta ni kukupa maoni yangu kuhusu ili swala Kama utaona itakupendeza unaweza ukayafanyia kazi.

i) Serikali ianze kutoa elimu ya jimai mashuleni kwanzia ngazi ya o-leval ili vijana waweze kujengwa psychology kuwa iko kitendo sio kizuri na chenye madhara kiafya katika miili yao hii atachangia kupungua vijana kujiingiza katika ushoga

ii) Serikali itunge sheria ya kwamba mwanamke yoyote atakae enda hospital kujifungua ikabainika anashindwa kujifungua kwasababu ya kuingiliwa kinyume na maumbile akamatwe na aliempa mimba akamatwe wachuliwe atua Kali za kisheria pamoja na fine hii pia itapelekea kupunguza kitendo hiki cha kikatili.

Tusioneane aibu kwajiri ya nguvu kazi ya taifa namatumaini itakufikia ni wako katika ujenzj wa taifa ARGAN MARA

 
Dah! Nachoka na haya manyuzi ya ushoga shoga na kupakuana kila siku. Mnapromote nini??[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…