Kwako Waziri wa Afya: Matatizo matatu ya Hospitali ya Muhimbili na Mloganzila ni haya

NI WAKATI WA KUISHTAKI MUHIMBILI AU MLOGANZILA KWA MEDICAL NEGLIGENCE CASE NDIO SERIKALI NA WAFANYAKAZI WATAINUKA, SERIKALI IKILIPA FIDIA NA WAFANYAKAZI KUFUKUZWA KILA MMOJA ATAWAJIBIKA
 
Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu;
  1. Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao
  2. Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa
  3. Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali
Madaktari wako hospitali za Umma kama Kituo cha kutafuta Wateja na kuwaelekeza kwenye vituo vyao vya mitaani ikiwa ni pamoja na Hospitali za binafsi. Kuna sababu gani ya kuendelea kuruhusu Daktari kuhudumu Hospitali za mitaani? Je, Askari Polisi au Askari Jeshi anaweza pia kuhudumu Kampuni Binafsi za Ulinzi?

Nasikia NHIF wanawalipa kutokana na malipo ya Mgonjwa hii ni hatari! Inawafanya kujiingiza kwenye tiba kubwa hata wasizoziweza ili tu wapate pesa

Wanafunzi wamefikia hatua ya kufanya mitihani mbele ya Mgonjwa ambaye hajapewa huduma lakini anatumiwa kama Kituo cha mtihani. Bila hata kuomba samahani, ukiwa hospitali Daktari anajiona kama anakumiliki, ni specimen yake.

Kuna madawa ’feki’ mengi yako kwenye maduka ya hospitali hizi. Yaonekana ni kwa sababu kuna Wagonjwa wengi na waletaji wana dili zao na wahusika.

Mara nyingi utapewa dawa inayoaminika kufanya vizuri katika ugonjwa lakini ukitaka usalama bora ununue ya maduka ya mitaani

Utawala wa hospitali ujiangalie upya! Hili siyo kutafuta sifa.
Kufanya kazi private ni kama mwalimu kwenda shambani baada ya kazi so huwezi kumpangia nini afanye baada ya kazi
 
Hii imekaa kimajungu sana. Sasa unataka dactari au nesi ajifunzie wapi? But ngoja nikushauri coz hujui dactari mwanafunzi lazima maandishi yake yapitiwe na Dr. Bingwa so shukuru kuonana na mwanafunzi coz hapo utamwona bingwa
 
Unajichanganya sana.

Wapi nilipotetea "nchi ya maana kupoteza muda..."

Mtu kama wewe hamweki maanani mnachokiandika hapa, mnabwatuka tu kila unapojisikia.

Hukumbuki tulishajibishana hapa JF kuhusu mambo kama haya, nikakupa mhtasari tu, lakini hukumbuki kitu!

Bado unataka nikutajie "vitabu nilivyosoma?"
Hukumbuki, hukumbuki, hukumbuki! Nikumbuke nini? Jieleze unachotetea au unachopinga. Mjadala huu ulishakuja hapa lini?
Tunajadili matatizo ya sekta wewe unakuja na brags utadhani ni taaluma yako kufanya uchafu.
 
Hii imekaa kimajungu sana. Sasa unataka dactari au nesi ajifunzie wapi? But ngoja nikushauri coz hujui dactari mwanafunzi lazima maandishi yake yapitiwe na Dr. Bingwa so shukuru kuonana na mwanafunzi coz hapo utamwona bingwa
Totally foolish if not stupid!
 
Mnaosema madaktari wa umma wasihudumu kwenye hospitali binafsi baada ya muda wao wa kazi , subiri ubanwe mkojo halafu theatre imejaa huko kwenye umma ndo utajua mchango wao kwenye hospitali binafsi.

Kuhusu dawa feki nani kakuambieni kwamba madaktari wanaagiza au kutengeneza dawa feki hospitalini? Uelewa wa mambo wakati mwingine ni saratani inayolitafuna Taifa.

Kuna jamaa mmoja anasema eti bodi ya wakurugenzi MNH ivunjwe! Hakujawahi kutokea tangu mbingu na ardhi kuwa na bodi nzuri inayoongozwa na Prof.Majinge na Prof.Mahalu kwa upande wa Taasisi ya moyo. Muhimbili ukienda Kwa sasa tangu wazee wateuliwe pale, huduma zinaeleweka na zinavutia.

Mapungufu hayawezi kukosekana kwenye hospitali hapo ndipo tunapaswa kuunguna na kuishauri saerikali iboreshe zaidi hasa Kwa kuongeza vifaa na wataalam wa kutosha kuliko kujikita kuchochea na kuzalisha majungu tubadilike.

Mwisho natoa pole kwa ndugu jamaa na wagonjwa wote wanaendelea kupata huduma kwenye taasisi zote za umma na binafsi. Changamoto zao zinafanana siyo private au za umma, tatizo ni idadi ya wagonjwa Kwa idadi ya watoa huduma. Tuajiri zaidi kwenye afya na Elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu;
  1. Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao
  2. Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa
  3. Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali
Madaktari wako hospitali za Umma kama Kituo cha kutafuta Wateja na kuwaelekeza kwenye vituo vyao vya mitaani ikiwa ni pamoja na Hospitali za binafsi. Kuna sababu gani ya kuendelea kuruhusu Daktari kuhudumu Hospitali za mitaani? Je, Askari Polisi au Askari Jeshi anaweza pia kuhudumu Kampuni Binafsi za Ulinzi?

Nasikia NHIF wanawalipa kutokana na malipo ya Mgonjwa hii ni hatari! Inawafanya kujiingiza kwenye tiba kubwa hata wasizoziweza ili tu wapate pesa

Wanafunzi wamefikia hatua ya kufanya mitihani mbele ya Mgonjwa ambaye hajapewa huduma lakini anatumiwa kama Kituo cha mtihani. Bila hata kuomba samahani, ukiwa hospitali Daktari anajiona kama anakumiliki, ni specimen yake.

Kuna madawa ’feki’ mengi yako kwenye maduka ya hospitali hizi. Yaonekana ni kwa sababu kuna Wagonjwa wengi na waletaji wana dili zao na wahusika.

Mara nyingi utapewa dawa inayoaminika kufanya vizuri katika ugonjwa lakini ukitaka usalama bora ununue ya maduka ya mitaani

Utawala wa hospitali ujiangalie upya! Hili siyo kutafuta sifa.
Mkuu umeandika vizuri na kwa kupangilia hoja zako nami nasema mjadala huanze hupya sasa maana tuhuma kwa idara ya afya zimekua nyingi mno sasa zingine wenda ni ukweli kwa asilimia 5% na zingine wenda sio kweli kwa asilimia95%
Nikianza na no3 Naomba kujua unaposema madawa feki unamanisha nini maana ni sentensi tata ? Kwamba madawa yanayotolewa yameisha mda wake?au Kupewa dawa ambazo aziendani na ugonjwa ?
Na kama unamanisha kupewa dawa ambayo haiendani na ugonjwa unaoumwa basi nikupongeze kwamba wewe ni tabibu au dr au mfamasia maana umekua ukienda hapo kwa kuwatega wahudumu na si kwa kutibiwa maana kama ni kutibiwa basi ungeweza kuagiza dawa popote pale nakujitibuu
2.Unasema kwa kutumia wanafunzi kujifunza kwa mgojwa bila dactari mzoefu
Elewa muhimbili ni tasisi kubwa pamoja na kuwa na chuo cha madactari ila bado inapokea inten wa level tofauti kuanzia undergaduate mpaka post graduate ambao kwa lugha nyingine ni madactari kamili sasa je unaweza dhibitisha kwamba unao wasema ni wanafunzi au ni inten ? Au tu kwa sababu unajua kwamba mhimbili kuna wanafunzi basi kila unaemuona hapo ni mwanafunzi na hata kama ni mwanafunzi elewa wote madactari nchi hii na nje ya nchi wanapitia utaratibu huu sio kwamba wameota kama kichuguu
1.madactari huangaika mtaani kuliko mwajili wao hapa ndo nimecheka sana sikia zipo kanuni za utumishi wa uma ndani yake nafikili hakuna kipengele kinachomkataza mtumishi wa uma asiwe mjasiliamali au kufanya kazi yoyote ya kumuingizia kipato bahada ya masaa yake ya kazi .na watumishi wa idara ya afya wana off zao waweza kuta mtumishi anakusanya off zake kwa kufanya kazi siku mfululizo na akawa na siku zake 7 na kuendelea so unataka izo siku zake akae nyumbani anacheza na watoto au kuangalia tv na ndo hapo utamkuta sehemu anapiga mishe mishe zake ili apate vocha na wewe kwa akili yako ukimkuta sehemu basi moja kwa moja kwamba hayupo kazini .
Mtumishi wa idara ya afya sio mfungwa na hakuna sheria yoyote inayomzuia asijishughulishe na shughuli zingine za kumuingizia kipato ali hali akiuki kanuni za utumishi wa umma
NISEME idara ya afya ni jeshi la ulinzi wa afya za wananchi mnavyo endelea kuwadhalisha na kuwatuhumu mnabomoa badala ya kujenga wapeni ushirikiano na upendo nao watawapenda na kuwajali
 
Hawa madaktari labda wapo kama roboti, uhudumie lundo la wagonjwa mhimbili hapo hapo utoke uende kwenye hospitali za binfasi napo utakuta lundo la wagonjwa linakusubiri. Ni muda gani wanapumzika na ku reflect cases ambazo wamekutana nazo kwa siku na kusoma zaidi.
 
Mlundikano wa wagonjwa kuliko idadi ya staff sio shida tena?,gharama za matibabu kuwa kubwa sio shida tena?Kuna research ilifanyika, watanzania wenye uwezo wa ku afford medical services ni less than 20% ,ndio maana ukitangaza matibabu bure e.g. meli ya kichina ile walijaa watu hadi wachina wakakimbia

Hapa issue ni sera ya afya ni mbovu...watanzania wanaoumwa mtaani ni wengi kushinda walioko hospitali

Kwa kifupi tu hili bomu wizara wanalijua ukilitegua hapatakalika ,nani asiejua madaktari na medical staff wa Tanzania wanalipwa kidogo kushinda nchi zote za Africa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Madaktari wa Zimbabwe wanalipwa dola 100 za Kimarekani kwa mwezi. Unataka kuniambia wanalipwa zaidi ya Madaktari wa Tanzania?
 
Hukumbuki, hukumbuki, hukumbuki! Nikumbuke nini? Jieleze unachotetea au unachopinga. Mjadala huu ulishakuja hapa lini?
Tunajadili matatizo ya sekta wewe unakuja na brags utadhani ni taaluma yako kufanya uchafu.
Kati ya watu wapuuzi niliowahi kupoeza muda nao.
 
Mkuu umeandika vizuri na kwa kupangilia hoja zako nami nasema mjadala huanze hupya sasa maana tuhuma kwa idara ya afya zimekua nyingi mno sasa zingine wenda ni ukweli kwa asilimia 5% na zingine wenda sio kweli kwa asilimia95%
Nikianza na no3 Naomba kujua unaposema madawa feki unamanisha nini maana ni sentensi tata ? Kwamba madawa yanayotolewa yameisha mda wake?au Kupewa dawa ambazo aziendani na ugonjwa ?
Na kama unamanisha kupewa dawa ambayo haiendani na ugonjwa unaoumwa basi nikupongeze kwamba wewe ni tabibu au dr au mfamasia maana umekua ukienda hapo kwa kuwatega wahudumu na si kwa kutibiwa maana kama ni kutibiwa basi ungeweza kuagiza dawa popote pale nakujitibuu
2.Unasema kwa kutumia wanafunzi kujifunza kwa mgojwa bila dactari mzoefu
Elewa muhimbili ni tasisi kubwa pamoja na kuwa na chuo cha madactari ila bado inapokea inten wa level tofauti kuanzia undergaduate mpaka post graduate ambao kwa lugha nyingine ni madactari kamili sasa je unaweza dhibitisha kwamba unao wasema ni wanafunzi au ni inten ? Au tu kwa sababu unajua kwamba mhimbili kuna wanafunzi basi kila unaemuona hapo ni mwanafunzi na hata kama ni mwanafunzi elewa wote madactari nchi hii na nje ya nchi wanapitia utaratibu huu sio kwamba wameota kama kichuguu
1.madactari huangaika mtaani kuliko mwajili wao hapa ndo nimecheka sana sikia zipo kanuni za utumishi wa uma ndani yake nafikili hakuna kipengele kinachomkataza mtumishi wa uma asiwe mjasiliamali au kufanya kazi yoyote ya kumuingizia kipato bahada ya masaa yake ya kazi .na watumishi wa idara ya afya wana off zao waweza kuta mtumishi anakusanya off zake kwa kufanya kazi siku mfululizo na akawa na siku zake 7 na kuendelea so unataka izo siku zake akae nyumbani anacheza na watoto au kuangalia tv na ndo hapo utamkuta sehemu anapiga mishe mishe zake ili apate vocha na wewe kwa akili yako ukimkuta sehemu basi moja kwa moja kwamba hayupo kazini .
Mtumishi wa idara ya afya sio mfungwa na hakuna sheria yoyote inayomzuia asijishughulishe na shughuli zingine za kumuingizia kipato ali hali akiuki kanuni za utumishi wa umma
NISEME idara ya afya ni jeshi la ulinzi wa afya za wananchi mnavyo endelea kuwadhalisha na kuwatuhumu mnabomoa badala ya kujenga wapeni ushirikiano na upendo nao watawapenda na kuwajali
Hatufahamiani lakini uandishi huu pamoja na kukuelewa kwa taabu kabisa, nahisi wewe ni mtu wa idara ya afya. Ulivyoandika unaonesha hujaiva kichwani. Unaanza kujiuliza nini maana ya 'feki' unasema hujui maana ya neno feki? Nalo unataka mjadala kwa hilio?

Unasema Muhimbili bhla! bhla! umejuaje wanafunzi bhlabhla! Hapo ndo maoni ya baadhi yanapoonekana. Ukiwa Muhimbili unaamini wote ni mbumbumbu! Kuna watu nje ya Muhimbili wana ufahamu kuliko hisia hiyo. Huduma nzuri tunazijua. madaktari wazuri tunawajua. Yaani nishindwe kumuona mwanafunzi anafundishwa nikiwepo na mgonjwa wangu eti kwa sababu Muhimbili ni kubwa? That's falacy!

Sasa unajipa ruhusa ya kufanyakazi nje ya mwajili, sawa. Unajua historia ya ruhusa hiyo ilitoka wapi? Siyo ya siku nyingi. Ilianza enzi za rais Mwinyi. Tatizo siyo kufanyakazi za binafsi, tatizo ni kutoweka eneo la kazi na kuingia mitaani wakati ofisini kwako unasubiliwa. Wengi wanafanya hivyo. Wakirudi pale Mloganzila na Muhimbili wanakuja kutafuta wagonjwa na kuwaelekeza kwenye dispensary za mitaani, hiyo ndo unatetea? Pole!
 
Kavae koti ukatibu wewe mwenyewe tumechoka na tuhuma zenu za kipuuzi maneno mengi hoja hamna
 
U

Unazungumziaje idara ambayo Wenda hata katika familia yako hakuna hats mmoja amewai Fanya kazi katika idara husika
Kitu Kama hujui bora kaa kimia inaweza kua busara kubwa sio kaa na kupiga majungu kwa vitu ambavyo ufaham wake kwako no zero alafu unakaa katika kulazimisha hoja
 
Kavae koti ukatibu wewe mwenyewe tumechoka na tuhuma zenu za kipuuzi maneno mengi hoja hamna
Pole, boss! Elimu siyo kujua kusoma na kuandika tu, ni mchanganyiko wa mengi. Huu uandikaji wako ni tatizo, na yawezekana hutafika mbali kimaisha maana, dunia hii siyo ya ubora duni tena!
 
Mnaosema madaktari wa umma wasihudumu kwenye hospitali binafsi baada ya muda wao wa kazi , subiri ubanwe mkojo halafu theatre imejaa huko kwenye umma ndo utajua mchango wao kwenye hospitali binafsi.

Kuhusu dawa feki nani kakuambieni kwamba madaktari wanaagiza au kutengeneza dawa feki hospitalini? Uelewa wa mambo wakati mwingine ni saratani inayolitafuna Taifa.

Kuna jamaa mmoja anasema eti bodi ya wakurugenzi MNH ivunjwe! Hakujawahi kutokea tangu mbingu na ardhi kuwa na bodi nzuri inayoongozwa na Prof.Majinge na Prof.Mahalu kwa upande wa Taasisi ya moyo. Muhimbili ukienda Kwa sasa tangu wazee wateuliwe pale, huduma zinaeleweka na zinavutia.

Mapungufu hayawezi kukosekana kwenye hospitali hapo ndipo tunapaswa kuunguna na kuishauri saerikali iboreshe zaidi hasa Kwa kuongeza vifaa na wataalam wa kutosha kuliko kujikita kuchochea na kuzalisha majungu tubadilike.

Mwisho natoa pole kwa ndugu jamaa na wagonjwa wote wanaendelea kupata huduma kwenye taasisi zote za umma na binafsi. Changamoto zao zinafanana siyo private au za umma, tatizo ni idadi ya wagonjwa Kwa idadi ya watoa huduma. Tuajiri zaidi kwenye afya na Elimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Point
 
Mheshimiwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, hizi ni Hospitali pacha zenye uzoefu wa uzembe zina matatizo haya matatu;
  1. Madaktari Wazoefu kuhangaikia Hospitali za Mitaani kuliko mwajili wao
  2. Kuwatumia Wanafunzi kujifunza bila Daktari mzoefu mbele ya mgonjwa
  3. Madawa ’feki’ kwa wingi ndani ya Hospitali
Madaktari wako hospitali za Umma kama Kituo cha kutafuta Wateja na kuwaelekeza kwenye vituo vyao vya mitaani ikiwa ni pamoja na Hospitali za binafsi. Kuna sababu gani ya kuendelea kuruhusu Daktari kuhudumu Hospitali za mitaani? Je, Askari Polisi au Askari Jeshi anaweza pia kuhudumu Kampuni Binafsi za Ulinzi?

Nasikia NHIF wanawalipa kutokana na malipo ya Mgonjwa hii ni hatari! Inawafanya kujiingiza kwenye tiba kubwa hata wasizoziweza ili tu wapate pesa

Wanafunzi wamefikia hatua ya kufanya mitihani mbele ya Mgonjwa ambaye hajapewa huduma lakini anatumiwa kama Kituo cha mtihani. Bila hata kuomba samahani, ukiwa hospitali Daktari anajiona kama anakumiliki, ni specimen yake.

Kuna madawa ’feki’ mengi yako kwenye maduka ya hospitali hizi. Yaonekana ni kwa sababu kuna Wagonjwa wengi na waletaji wana dili zao na wahusika.

Mara nyingi utapewa dawa inayoaminika kufanya vizuri katika ugonjwa lakini ukitaka usalama bora ununue ya maduka ya mitaani

Utawala wa hospitali ujiangalie upya! Hili siyo kutafuta sifa.
Mtoa bandiko umeongea mengi lakini mengine sijakuelewa,labda kama unazungumzia muhimbili ya awamu zilizopita,kwa muhimbili ya sasa chini ya Profesa Museru kero nyingi za kipindi cha nyuma zimepungua kama si kuondoka kabisa,na ingawa hakuna kizuri kinachokosa kasoro lakini mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni....wanastahili sifa.
Mimi ni moja ya wagonjwa ambao hufika hapo kupata huduma Mara kwa Mara,kusema ukweli pamoja na mapungufu madogo madogo lakini huduma zimeimarika sana kulinganisha na awamu zilizopita...mfano ukiongelea upatikanaji wa madawa kwa sasa hali ni nzuri kulinganisha na zamani,ni ngumu sana kwa sasa kuambiwa dawa flani hamna, na pia pharmacy za wagonjwa wa nje zinatoa huduma wakati mwingine mpaka saa tatu usiku tofauti na zamani SAA kumi walikuwa wanafunga, ukisema dawa fake bado hueleweki kivipi...kama uliwahi kupewa dawa fake ilikuwaje ukabaki nalo bila kulifikisha kunakohusika?
Binafsi nimewahi kuuguza mgonjwa muhimbili kipindi hiki na kipindi cha awamu zilizopita,kwa sasa hali ni tofauti sana kwani wagonjwa wanapata dawa tena kwa wakati tena zikitolewa na wataalam halisi ambao ni wafamasia wakifanya kazi wodini kwa Massa 24,kwa machache haya nawapongeza sana hospitali ya muhimbili na nawaomba wananchi wenzangu tusiwavunje moyo wataalam wetu ambao wanapambana usiku na mchana kunusuru maisha yetu tena wakifanya kazi katika mazingira magumu, sikatai wapo baadhi ya wafanyakazi wasio waaminifu,lakini kwa jinsi serikali ya awamu ya tano ilivyo na jicho Kali wataonekana tu,ila kwa ujumla napongeza idara ya madawa hospitali ya muhimbili (ingawa sins uzoefu sana na Mloganzila) kwa kazi nzuri wanayofanya kuhakikisha upatikanaji was dawa kwa wwkati...pia wauguzi na madaktari,penye mapungufu endeleeni kuboresha ili wananchi tupate huduma bora pongezi za dhati kwa mkurugenzi wa hospitality na team nzima,watanzania tunawaamini na msikatishwe tamaa,tunaelewa pamoja na mazuri mengi mnayofanya kasoro haziwezi kukosekana na tunawatakia kheri mzirekebishe kwa faida ya jamii kwani sisi sote ni wagonjwa au wagonjwa watarajiwa.
 
Pole kwa unadishi wa ainahii. Naomba uwe unaweka aya fupi fupi ili tusichoke kusoma maandiko yako.
Ninachokiona, unatoa pongezi kwa woga. Unaamini tukisifia huduma zitakuwa nzuri. Unafikia hatua ya kushauri dawa feki nitoe ripoti, kwani thrd hii inafanya nini hapa? Hii ni ripoti kwamba Muhimbili kuna dawa feki! UNataka turudi hospitali na boksi la dawa?

Wa TZ wote wana kazi zao ndo maana mkulima aliambiwa kama una njaa, ufe tu! Kwa nini unataka lugha ya kulemba eti sasa ni nafuu? Shule ambazo wamefeli wameambiwa ninyi ni hovyo! Unatakla tusema sasa kuna nafuu ya kufeli? Nani asiyefahamu kwamba madaktari wanafika Muhimbili kutafuta wagonjwa wa kupeleka private? Hufahamu kweli?
 
Usinipangie jinsi ya kupost kwakuwa we we hakuna aliyekupangia jinsi ya kupost,naona kama unaulimbukeni was kujiona kwamba wewe ndiye mwenye uwezo wa kufanya jambo sahihi,na kama huna uwezo wa kusort details tulia wapo wanaoelewa.
Pia unanishangaza unapoamini kwamba kwa kupost kitu kwenye JF eti ndo formal way ya kutoa taarifa,haiko hivyo,kuna special machineries za kushughulikia issues...mfano ukipewa dawa fake wasiliana na TFDA ,ukishindwa nenda hats polisi au kwenye management ya hosp husika,kuropoka tu hulisaidii taifa,MTU yeyote anaweza kuja hapa na ID fake kama hiyo yako akaropoka chochote kama unavyofanya we we kwa interest anazojua mwenyewe,huonekani kama ni MTU anayejitambua
 
Back
Top Bottom