Lil bees
Senior Member
- May 17, 2022
- 143
- 158
Ndugu mheshimiwa hongera kwa kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI. Umepata cheo hiki wakati ambao vijana walioajiriwa mwezi wa saba mwaka huu wa 2022 wakiwa wanalalamika kila upande wa hili taifa kuwa wamedhulumiwa hela zao za kujikimu.
Zipo wilaya zimewapunja waajiriwa kiasi Kikubwa kweli. Mfano Morogoro, Songea, Butiama, nk. Tunakuomba uanze na hili huko halimashauri kuna watu wasiotosheka na kile kilicho chao tunaomba muwawajibishe maana hili linatia aibu serikali yetu pendwa.
Wako katika kazi na ujenzi wa taifa
Kazi ziendelee