Huu utapeli ndio hatutaki sasaSi kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao,
Binadamu hatuko sawa wote, kuna watoto, wazee, wagonjwa ambao hawataweza kutokaHuu utapeli ndio hatutaki sasa
Unapiganaje moyoni wenzako wavunjwe viuno barabarani??
Kina maria ndio wanapigana moyoni??
Upumbavu
Ww n shujaa wa aina gani kati ya hao wawili hapo?Tarehe 29
Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika.
Ukiusoma uzi kwa umakini inaonyesha wazi kabisa kua yeye ni wale wanapigania ndani ya mioyo yao.Ww n shujaa wa aina gani kati ya hao wawili hapo?
Shujaa wa online 😂Ukiusoma uzi kwa umakini inaonyesha wazi kabisa kua yeye ni wale wanapigania ndani ya mioyo yao.
Soma tenaUkiusoma uzi kwa umakini inaonyesha wazi kabisa kua yeye ni wale wanapigania ndani ya mioyo yao.
Soma uzi vizuriWw n shujaa wa aina gani kati ya hao wawili hapo?
Andika tena.Soma tena
Basi usikurupukeAndika tena.
Sawa mpigania haki ndani ya moyo.Basi usikurupuke
Haka kajamaa Bwana, hizi zama ngumu sana wananchi wako serious sana , kamdomo ,kamdomo
Andiko lako ni zuri; lakini kutowataja wale ambao wamepanga kwenda vituoni kupiga kura CHAFU kuwa maadui wa taifa hili linapunguza ukamilifu wa andiko lote.Tarehe 29
Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule ambaye hatatoka tarehe 29 basi soma haya kwa moyo wote.
Tunaishi nchi ambayo ofisi zimekuwa masoko ya rushwa, na haki ni bidhaa adimu. Utekaji umegeuzwa zana ya kutisha wale wanaosema kweli, na mauaji yamekuwa vichwa vya habari vya kesho ambavyo wote tumezoea.
Umaskini unakula heshima, na wale waliopaswa kuwajibika wamegeuza viti vyao kuwa milki binafsi.
Lakini bado, kila pumzi ni nafasi. Kila moyo unaopiga ni ushuhuda kwamba taifa hili bado linaweza kubadilika na kuinuka. Kama hutoki leo, ujione dhaifu au msaliti. Unaweza kuwa nguvu ya kimya inayowatia moyo wale walioko mstari wa mbele. Usiache kuwapa maneno ya moyo, usiache kuwaombea, usiache kusimulia hadithi yao kwa heshima.
Na kwa wale tutakaotoka, tukiwa tumeshika mabango, wimbo, au matumaini jua kwamba hauko peke yao. Wako na wale wengi wanaotuamini bila kupiga hatua, wanaotuombea kimya kimya, wanaotupenda kimya kimya, wanaotuunga mkono hata bila sauti.
Tarehe 29 si vita ya damu, ni mapambano ya dhamira. Wako pale watakaotembea kwa miguu, na wako pia watakaotembea kwa imani. Nchi inatuhitaji wote wawili.
Haki huinua taifa