Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,385
Yaani watu wataratibu kama hao ndo huwa wanakutana na mijanaume ya ajabu haijali kuumiza hadi unajiuliza hivi huyu mwanaume amerogwa? Alikuwa anataka nini zaidi?
Life is nat fair,accept itYaani watu wataratibu kama hao ndo huwa wanakutana na mijanaume ya ajabu haijali kuumiza hadi unajiuliza hivi huyu mwanaume amerogwa? Alikuwa anataka nini zaidi?
Nimefurahishwa uliposema "HUU SIO MTONGOZO" maana wengi tungeona una andaa mazingira. Lakini nimependa DUAH (maombi) uliyomfanyia. Hili liwe somo kwa akina Dada wengine hapaHUU SIO MTONGOZO, ni neno la kuhusudu(word of admiration) kwa mwanamke ambaye nimekua nikifatilia michango yake humu JF MMU kwa takriban miaka mitatu kabda na baada ya mimi kua member wa blog hii. Nimefatilia michango ya weengi sana kwa muda huo lakini huyu katengeneza picha fulani akilini mwangu kwa consistence ya discipline ya michango yake.
Namzungumzia Emmyta. Picha niliyoijenga kwake ni dada mpole, mwanamke mcheshi, binti mwenye nidhamu ya kike hasa, asietaka makuu wala magomvi na mtu. Kwa kusoma michango yake nimemuumba katika fikra zangu mwanamke mtulivu anaechagua maneno na mwenye kujitambua.
Emmyta hamkwazi mtu, Emmyta hashushuani na mtu, Emmyta hamtukani mtu hata akichokozwa, Emmyta kama alivyo kunguru mwoga hukimbiza ubawa wake pale kwenye makabiliano ya maneno. Ukimkera Emmyta kwa maneno na ukachelewa kumuomba radhi basi atakuomba radhi yeye! Emmyta umelelewa ukaleleka wee dada
Uchaguzi wa Avater yake iwe ni picha yake yeye mwenyewe au sio yake ni miongoni mwa vitu vilivosaidia kumpa manyota yote haya. Avater ya kuonyesha bashasha na tabasabu la furaha, uchangamfu, upole, mapenzi na heshima. Haya Emmyta hebu njoo huku, kaa hapo, inua mikono juu nikuombee dua Emmyta, kisha useme Aamiin, na dua ya sisi wahenga hua haidondoki na hairudi nyuma asilani
Mungu Akupe kila la heri Emmyta, Mungu Akulinde na kila la shari, Akunusuru na husda za mahasidi Emmyta, Mungu Azidi kukujaza mapenzi kwa watu wote, wadogo kwa wakubwa. Mungu awabadilishe maadui zako wawe marafiki zako
Emmyta, kama hujapata mume Mungu Akupe mume mwema mwenye kheri na wewe.
.Emmyta kama una mume Mungu awape masikilizano na awajaze mapenzi kati yenu.
Awajaalie watoto idadi mnayoitaka na Awape rizki halali, yenye wasaa(nyingi) na yenye kuendelea
Kwa wale wanaounganana na mimi katika kumpa manyota haya Emmyta hebu nisindikizeni kwake kwa kugonga like nyingi iwe ishara ya kumzawadia Emmyta, aendelee na moyo huohuo
Hakuna ubaya mkuuHahahaa mkuu, mi ni mwanaume na Emmyta ni mwanmke, hakuna ajabu mimi kumpenda na kutongoza lakini nimeweka wazi toka mwazo kua hili halikua tongozo ni maneno ya kum admire tu, kuna ubaya katika hilo mkuu?
Hata akija PM fanya iwe siri yenu maana jamaa anajitambua na kujiheshimu kama ulivyo weweHahaaa. Kaelezea hisia zake anavyomkubali Emmy. Ungekuwa mtongozo angeshakuja huko PM na huwezi amini hata hajawahi fika.
Hahaaa. Haya bana.Hata akija PM fanya iwe siri yenu maana jamaa anajitambua na kujiheshimu kama ulivyo wewe
Mmh ya kwel hayo kuwa hajawah fika pm?Hahaaa. Kaelezea hisia zake anavyomkubali Emmy. Ungekuwa mtongozo angeshakuja huko PM na huwezi amini hata hajawahi fika.
Uwagawie na wenzako kidgo hyo mijisifa uliyomwagiwa [emoji2][emoji2][emoji2] kizuri kula na ndugu zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]Duuh! Nimejikuta nasoma mara tatu tatu pasi kuamini mijisifa uliyonimwagia hapa.
Nikushukuru tu Kaka kwa kuliona hilo kutokana na maandishi na hiyo Avatar ya Emmy. Ahsante sana dua zako nimezipokea Amiin.
Ubarikiwe Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
hahahaka mwanamke kajuaji haka khaa [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hahahaaa. Nshawagawia tayari kaka. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Uwagawie na wenzako kidgo hyo mijisifa uliyomwagiwa [emoji2][emoji2][emoji2] kizuri kula na ndugu zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji4][emoji4][emoji4] inapendeza
A 'Paw in the bottle' by James Hadley Chase.......ulisha soma novel hiyo Hornet?Hahaaaa najua hauwezi sky atakubanika maungio yako.
Nisaidie kumkagua huyo aliyeonesha upendo hapo juu,naweza nikaweka makazi rasmi?
Yes yes one of my favourite...A 'Paw in the bottle' by James Hadley Chase.......ulisha soma novel hiyo Hornet?
Mi nilikipitia longtime ago, kulikua na yule jamaa sijui anaitwa Harry or something na mwanamke mmoja aliependwa na tajiri. Tajiri ambaye alifiwa na mkewe wa kwanza na kisha akapata upofu lakini akaja kuanza kuona bila kuwajulisha watu na akaja kushuhudia uchafu wa huyo mwanamke mpya akifanya mbele yake na Harry, sasa sijui nimechanganya madesa maana ni muda mrefu sanaYes yes one of my favourite...
More fur more fur...
Yule jamaa alikuwa na house maid mwenye tamaaMi nilikipitia longtime ago, kulikua na yule jamaa sijui anaitwa Harry or something na mwanamke mmoja aliependwa na tajiri. Tajiri ambaye alifiwa na mkewe wa kwanza na kisha akapata upofu lakini akaja kuanza kuona bila kuwajulisha watu na akaja kushuhudia uchafu wa huyo mwanamke mpya akifanya mbele yake na Harry, sasa sijui nimechanganya madesa maana ni muda mrefu sana
Kabisaaa mleta mada umesema ukweli,huyu emmy wetu mstaarabu ana kila aina za busara.
Ooooh yes, you have refreshed my memory Hornet, Huyu house maid mwenye tamaa na yeye alikuja kufa kwa kua trapped kwenye chumba cha auto control cha yule fathe house, na yule boyfriend wake alikuja kufa kwenye tukio controversial la ujambazi au sio?Yule jamaa alikuwa na house maid mwenye tamaa
Ambaye alikuja kumdate father house
Mke akakutwa amefariki bila kujulikana muuwaji