Kwako wewe dada ninaye kuhusudu/ku admire MMU

Duuh! Nimejikuta nasoma mara tatu tatu pasi kuamini mijisifa uliyonimwagia hapa.

Nikushukuru tu Kaka kwa kuliona hilo kutokana na maandishi na hiyo Avatar ya Emmy. Ahsante sana dua zako nimezipokea Amiin.

Ubarikiwe Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
We mtoto utanipa ban wewe aisee
 
Yaani watu wataratibu kama hao ndo huwa wanakutana na mijanaume ya ajabu haijali kuumiza hadi unajiuliza hivi huyu mwanaume amerogwa? Alikuwa anataka nini zaidi?
 
Duuh! Nimejikuta nasoma mara tatu tatu pasi kuamini mijisifa uliyonimwagia hapa.

Nikushukuru tu Kaka kwa kuliona hilo kutokana na maandishi na hiyo Avatar ya Emmy. Ahsante sana dua zako nimezipokea Amiin.

Ubarikiwe Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
japo nimechelewa kuona huu ujumbe wako heko kwako my dada[emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
Back
Top Bottom