Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahah!! Mkuu acha kwanza emmyta ajipoze na hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahah!! Mkuu acha kwanza emmyta ajipoze na hili
Hahah! sawa rafiki wewe cheka tuDuuh! Nimecheka sana rafiki. Haya ahsante.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
We mtoto utanipa ban wewe aiseeDuuh! Nimejikuta nasoma mara tatu tatu pasi kuamini mijisifa uliyonimwagia hapa.
Nikushukuru tu Kaka kwa kuliona hilo kutokana na maandishi na hiyo Avatar ya Emmy. Ahsante sana dua zako nimezipokea Amiin.
Ubarikiwe Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani aingie nani atokeMmh. [emoji15] Upembuzi gani huo Swahiba?
Nifanyeje sasa rafiki yangu wakati unasema gazeti lako liko moyoni. Lol.Hahah! sawa rafiki wewe cheka tu
Hahahaaaa. Siko hivyo Mshipa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nani aingie nani atoke
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Emmy hajambo. Wewe je?We mtoto utanipa ban wewe aisee
Kuadmire ni mwanzo wa kutongoza, sema tu yawezekana ni mouth concreteHahahaa mkuu, mi ni mwanaume na Emmyta ni mwanmke, hakuna ajabu mimi kumpenda na kutongoza lakini nimeweka wazi toka mwazo kua hili halikua tongozo ni maneno ya kum admire tu, kuna ubaya katika hilo mkuu?
Mkuu Huu unaitwa upembuzi yakinifu [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] nani aingie nani atoke
Sio gazeti tu nahisi ni jarida kabisaNifanyeje sasa rafiki yangu wakati unasema gazeti lako liko moyoni. Lol.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Rafiki eti jarida lol.Mkuu Huu unaitwa upembuzi yakinifu [emoji1]
Sio gazeti tu nahisi ni jarida kabisa
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Amiin! Insha Allah mdogo wangu.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]Hahaaa. Nimeshachukuliwa tayari.
japo nimechelewa kuona huu ujumbe wako heko kwako my dada[emoji8] [emoji8] [emoji8]Duuh! Nimejikuta nasoma mara tatu tatu pasi kuamini mijisifa uliyonimwagia hapa.
Nikushukuru tu Kaka kwa kuliona hilo kutokana na maandishi na hiyo Avatar ya Emmy. Ahsante sana dua zako nimezipokea Amiin.
Ubarikiwe Mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsante sana mdogo wangu kipenzi, ndugu yangu na rafiki yangu wa ukweli. [emoji8] [emoji8]japo nimechelewa kuona huu ujumbe wako heko kwako my dada[emoji8] [emoji8] [emoji8]
lope you[emoji7]Ahsante sana mdogo wangu kipenzi, ndugu yangu na rafiki yangu wa ukweli. [emoji8] [emoji8]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
nje pia yupo mwah[emoji108]Yuko poa sana kwa jf sijui nje lakini