Oooh sure kama sijasahau ni hivyo ilivyokuwaOoooh yes, you have refreshed my memory Hornet, Huyu house maid mwenye tamaa na yeye alikuja kufa kwa kua trapped kwenye chumba cha auto control cha yule fathe house, na yule boyfriend wake alikuja kufa kwenye tukio controversial la ujambazi au sio?
Unasema Chase is your favorite writer? Umesoma kama vitabu vyake vingapi?Oooh sure kama sijasahau ni hivyo ilivyokuwa
You are lonely when you are deadUnasema Chase is your favorite writer? Umesoma kama vitabu vyake vingapi?
An ace up my sleeves, I hold four aces, No Orchids for Miss Blandish, Have this On Me, This is for Real, Do me a favor Drop Dead, My Laugh Comes Last....nimesoma vitabu vyake kati ya 35 au 40!You are lonely when you are dead
Make the corpse walk
Vingine nimesahau title
No orchid for miss BlandishAn ace up my sleeves, I hold four aces, No Orchids for Miss Blandish, Have this On Me, This is for Real, Do me a favor Drop Dead, My Laugh Comes Last....nimesoma vitabu vyake kati ya 35 au 40!
Hii kauli Wanawake wanaipenda sana Kwani huwapa Heshima na Kuwapunguzia Usumbufu....Ahsante Emmyta![emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji6]Hahaaa. Nimeshachukuliwa tayari.
Halafu ilikua ni continuation ya title nyingine ya Miss Blandish sikumbuki vizuri, sijui ni An Orchid for Miss Blandish?No orchid for miss Blandish
Hahaaa bibie anahangaisha vichwa vya vidume
Nitaangalia kwenye mafile badaeHalafu ilikua ni continuation ya title nyingine ya Miss Blandish sikumbuki vizuri, sijui ni An Orchid for Miss Blandish?
Hahaaaa. Kweli kabisa Mkuu.Hii kauli Wanawake wanaipenda sana Kwani huwapa Heshima na Kuwapunguzia Usumbufu....Ahsante Emmyta![emoji115] [emoji14] [emoji14] [emoji6]
Na recommend kwako mtafute Sydney Sheldon utampenda piaNitaangalia kwenye mafile badae
Umenikumbusha kumsoma Chase.
Nilikuwa nayo the other side of midnight kama sijakoseaNa recommend kwako mtafute Sydney Sheldon utampenda pia
Ngoja niangalie namna ya kupata soft copies and I will let you know, mi ninazo hard copies, The Other Side Of Midnight kiko poa sana kama vitabu vyake vingineNilikuwa nayo the other side of midnight kama sijakosea
Nikampa mtu hakuirudisha na sikuwahi kusoma.
Kama unavyo soft copy please do the me a favor.
Atawapa vipi watu waliojaa wenge. Wadada wengine humu akili zao wanazijua wenyewe[emoji3] [emoji3]Uwagawie na wenzako kidgo hyo mijisifa uliyomwagiwa [emoji2][emoji2][emoji2] kizuri kula na ndugu zako [emoji1][emoji1][emoji1][emoji125][emoji125][emoji125]