Kwako wewe sehemu nzuri ya kukutania na mwenzi wako kimwili ni wapi?

Nimeuliza hivi kwasababu interest znatofautiana sana .
Mimi na mpenzi wangu tusipopanga hilo tendo tukawa TU maybe tunahang around ndo tunashtukizana TU.
Na hii inakua sehemu yoyote hata pakiwa open ilimrad watu wasituone TU na tunafurahia sana kuliko hata akiwa chumban kwangu.

Vipi wewe wapi????
Sometimes watoto mmekuwa hamna adabu! maneno gani hayo tena!???
 
Sometimes tukipanda sana kutoka out kwa ajli ya kupumzika na kuenjoy tunaishia kukorofishana na kurudi kila mtu amenuna. Hayana formular mapenzi, binafisi napenda sehemu iliyotulia.
 
Good ahsante kwa mchango mzuri dada
 
Sometimes tukipanda sana kutoka out kwa ajli ya kupumzika na kuenjoy tunaishia kukorofishana na kurudi kila mtu amenuna. Hayana formular mapenzi, binafisi napenda sehemu iliyotulia.
Kama makaburini au vipi?
 
Aroo Makonda anawatafuta watu kama wewe uliyeleta huu uzi
 
Nyege za kuku izo!! Ngoja defender siku ikukute utaomba pooo
 
Back
Top Bottom