Kwako wewe sehemu nzuri ya kukutania na mwenzi wako kimwili ni wapi?

Kwako wewe sehemu nzuri ya kukutania na mwenzi wako kimwili ni wapi?

Nimeuliza hivi kwasababu interest zinatofautiana sana. Mimi na mpenzi wangu tusipopanga hilo tendo tukawa tu maybe tunahang around ndo tunashtukizana tu. Na hii inakuwa sehemu yoyote hata pakiwa open ilimradi watu wasituone tu na tunafurahia sana kuliko hata akiwa chumbani kwangu.

Vipi wewe wapi?
Vipi pahali pa kukutania kiroho upataki?.
 
Sometimes tukipanda sana kutoka out kwa ajli ya kupumzika na kuenjoy tunaishia kukorofishana na kurudi kila mtu amenuna. Hayana formular mapenzi, binafisi napenda sehemu iliyotulia.
nimekupenda buree [emoji30] [emoji30]
 
Back
Top Bottom