mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
Fanya hvyo ili utomaso ukamilike kwanguNdio, bonge la movie GB za kutosha nikurushie?
Mkuu naona umeboost!HongeraAcha kuingilia maisha ya familia za watu.. ungewafatilia kama fan wa kweli husingemuanzishia huu uzi.
Ameshaeleza mara nyingi hawapendi.. hasa wa kwanza. Pia kwa muda huu Mkubwa yupo New York likizo na wale wakiume wawili wapo Tanzania kama wiki ya pili sasa wanakula bata.
Na hao wadogo wakikua wataweka maamuzi yao na pia hao wadogo wameingia mikataba..
Kuwa specific tiffah na nillan ni mabalozi wa kampuni zipi tueleweshe labda unatumia organ inayojulikanaWewe unafikilia show off lakini wenzako wanafikilia kipiga pesa, tiffah na nillan birthday zao zinakuwa sponsored na makampuni mbali mbali, jaribu kupitia kila event uone kuna sponsor wangapi! Na makampuni yana sponsor sio kwa kuwa ni watoto wa Zarina bali ni kwa kuwa kazaa na Diamond, sasa wewe mtoa mada unaweza kuniambia ni kampuni gani inaweza ku sponsor event za hao watoto wake wengine? Wabongo sijajua sometimes tunatumia organ gani kufikiria! Haujiulizi ni kwa nini tiffah na nillan ni ma mabalozi wa makampuni na hao wengine wamekosa hata ubalozi wa shule tu, ni si ajabu na hilo pia utapeleka lawama kwa zarina.
Bosi hao watoto wanapiga pesa, usione wanafanyiwa vi party ukaona watu wana show off, ndio maana nasema kabla ya kuanzisha uzi badi watu wafanye uchunguzi. Sasa hiyo bio ya tiffah ana ni ambassador wa kampuni hizohapo. Mengine jiongeze mwenyewe.Kuwa specific tiffah na nillan ni mabalozi wa kampuni zipi tueleweshe labda unatumia organ inayojulikana
Kuwa specific tiffah na nillan ni mabalozi wa kampuni zipi tueleweshe labda unatumia organ inayojulikana
Kwahiyo hawa wadogo ndio wanapenda Show off, basi sawaAcha ushamba. Wewe umefanyiwa birthday ngap?
Watoto wake wakiume ni wakubwa hawapendi show off za mitandaoni kama wewe
Mkuu naona umeboost!Hongera
Au kitu natural mkuu?hahahahahaEeeeeeeeh
Embu pita hukoooo.. ha ha haaaaa
Au kitu natural mkuu?hahahahaha
usiweke sura wewe weka hicho kifua tu mkuu tuone hilo balaaa hahahahaaMmmmh hiyo avatar unajua haiwezi kuwa mimi shaaa.. nikiweka yangu si utaugua kabisaaaa.. eeeeeeeeh
Nimemfanyia mbona?We birthday yako wazazi wamekufanyia lakini??!!
usiweke sura wewe weka hicho kifua tu mkuu tuone hilo balaaa hahahahaa
We birthday yako wazazi wamekufanyia lakini??!!
ππππππNimemfanyia mbona?
Hahahah, kabisa na bata tumechinja tena bata bukiniππππππ
Kumbe ni mwanao, ha ha ha nmecheka lol