Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

Wewe unafikilia show off lakini wenzako wanafikilia kipiga pesa, tiffah na nillan birthday zao zinakuwa sponsored na makampuni mbali mbali, jaribu kupitia kila event uone kuna sponsor wangapi! Na makampuni yana sponsor sio kwa kuwa ni watoto wa Zarina bali ni kwa kuwa kazaa na Diamond, sasa wewe mtoa mada unaweza kuniambia ni kampuni gani inaweza ku sponsor event za hao watoto wake wengine? Wabongo sijajua sometimes tunatumia organ gani kufikiria! Haujiulizi ni kwa nini tiffah na nillan ni ma mabalozi wa makampuni na hao wengine wamekosa hata ubalozi wa shule tu, ni si ajabu na hilo pia utapeleka lawama kwa zarina.
 
Acha kuingilia maisha ya familia za watu.. ungewafatilia kama fan wa kweli husingemuanzishia huu uzi.

Ameshaeleza mara nyingi hawapendi.. hasa wa kwanza. Pia kwa muda huu Mkubwa yupo New York likizo na wale wakiume wawili wapo Tanzania kama wiki ya pili sasa wanakula bata.

Na hao wadogo wakikua wataweka maamuzi yao na pia hao wadogo wameingia mikataba..
Mkuu naona umeboost!Hongera
 
Wewe unafikilia show off lakini wenzako wanafikilia kipiga pesa, tiffah na nillan birthday zao zinakuwa sponsored na makampuni mbali mbali, jaribu kupitia kila event uone kuna sponsor wangapi! Na makampuni yana sponsor sio kwa kuwa ni watoto wa Zarina bali ni kwa kuwa kazaa na Diamond, sasa wewe mtoa mada unaweza kuniambia ni kampuni gani inaweza ku sponsor event za hao watoto wake wengine? Wabongo sijajua sometimes tunatumia organ gani kufikiria! Haujiulizi ni kwa nini tiffah na nillan ni ma mabalozi wa makampuni na hao wengine wamekosa hata ubalozi wa shule tu, ni si ajabu na hilo pia utapeleka lawama kwa zarina.
Kuwa specific tiffah na nillan ni mabalozi wa kampuni zipi tueleweshe labda unatumia organ inayojulikana
 
Bosi hao watoto wanapiga pesa, usione wanafanyiwa vi party ukaona watu wana show off, ndio maana nasema kabla ya kuanzisha uzi badi watu wafanye uchunguzi. Sasa hiyo bio ya tiffah ana ni ambassador wa kampuni hizohapo. Mengine jiongeze mwenyewe.
IMG_1470.PNG
 
Kuwa specific tiffah na nillan ni mabalozi wa kampuni zipi tueleweshe labda unatumia organ inayojulikana

Na mwingine huyo, sasa ndio mjue kwa nini hao watoto wanaandaa events, hao watoto ni brands kama unavyomuona baba yao. Sasa hizi ngonjera za hapa ndio zinanishangaza
IMG_1471.PNG
 
Acha ushamba. Wewe umefanyiwa birthday ngap?
Watoto wake wakiume ni wakubwa hawapendi show off za mitandaoni kama wewe
Kwahiyo hawa wadogo ndio wanapenda Show off, basi sawa
 
Back
Top Bottom