Unajua sehemu gani ya Congo hivyo vita vinapiganwa??Kwa manufaa ya Utulivu wa Nchi za maziwa makuuu, Manufaa ya kimkakati Nchini kwetu, Taswira ya Nchi yetu Duniani, na Kwa wakongo wenyewe.
Vita Ndani ya Kongo , ni Mzigo Tanzania.
Umewaza juu ya wakimbizi ??
Rwanda ni mlaini kabisaaAmiri Jeshi wako mkuu ana Iron-dome kama ya Rwanda au Israel ?
100%✓Kwa manufaa ya Utulivu wa Nchi za maziwa makuuu, Manufaa ya kimkakati Nchini kwetu, Taswira ya Nchi yetu Duniani, na Kwa wakongo wenyewe.
Vita Ndani ya Kongo , ni Mzigo Tanzania.
Umewaza juu ya wakimbizi ??
Si alienda jesh mwenyeweWe mpumbavu Sana
Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
Vita ipo mashariki ya Kongo.Unajua sehemu gani ya Congo hivyo vita vinapiganwa??
Umewaona wakimbizi wowote wa Congo mpaka sasa hivi hapa nchini??
Taswira ya nchi yetu inaathiriwaje na vita vya Congo?
Nani aliipa mamlaka Tanzania kuwa police wa nchi za maziwa makuu?
Kwahiyo MTU afe akiwapigania wanasiasa sio ...?.Si alienda jesh mwenyewe
Au unafikiri kazi ya jeshi ni kuuza ice cream
Nyumbu wewe
Nenda kajiunge na jeshi la Congo au wanaMgambo wanaoiunga nkono serikali upigane.Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Easier said than done...Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Kuongeza eneo lengine ni wazo Zuri ila inabidi serikali iongeze sayansi na teknolojia katika jeshi letu ili kudumisha amani kwenye ukanda wetu. Tuachane na ma AK 47 tutengeneze missiles sisi wenyewe.Tuliwasaidia wa Kongo kumchapa m23 tukawaachia nchi yao ikiwa salama,kama wameshindwa kuilinda nchi yao basi watugawie Kongo iwe sehemu ya Tanzania hata askari wetu wanapokwenda kupigana ijulikane kuwa askari wetu wanapigana na kuuawa kwa kutetea maslahi ya nchi yao.
Ustarabu kama huu ulimshinda mbabe wa vita duniani Marekan Afghanistan,majitu kayapigania kaikabidhi nchi yao ikiwa salama wakashindwa kuilinda,Marekani akaona huu ni ujinga majitu gani haya yasiyoweza kujilinda yanataka yaendelee kulindwa kwa kutumia kodi za wananchi wa Marekani akaondoa majeshi yake Afghanistan wapambane na hali yao.
Jichanganyeni tu ,kagame ana Backup M23 wa zamani si sawa na wa sasas ,hawa wamejipanga siyo wale Banyamulenge au interahmwe enzi za Ndadaye ,Bizimungu ,Wamba Dia Wamba ,Lora Nkunda hawa ni New generation always strapped full loaded.Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.
Kagame apigwe, M23 wapigwe !!
Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
😄Kuongeza eneo lengine ni wazo Zuri ila inabidi serikali iongeze sayansi na teknolojia katika jeshi letu ili kudumisha amani kwenye ukanda wetu. Tuachane na ma AK 47 tutengeneze missiles sisi wenyewe.
Watu washajijengaa wanafikiria ni wale wa zamaniJichanganyeni tu ,kagame ana Backup M23 wa zamani si sawa na wa sasas ,hawa wamejipanga siyo wale Banyamulenge au interahmwe enzi za Ndadaye ,Bizimungu ,Wamba Dia Wamba ,Lora Nkunda hawa ni New generation always strapped full loaded.