Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

Kwa manufaa ya Utulivu wa Nchi za maziwa makuuu, Manufaa ya kimkakati Nchini kwetu, Taswira ya Nchi yetu Duniani, na Kwa wakongo wenyewe.

Vita Ndani ya Kongo , ni Mzigo Tanzania.

Umewaza juu ya wakimbizi ??
Unajua sehemu gani ya Congo hivyo vita vinapiganwa??
Umewaona wakimbizi wowote wa Congo mpaka sasa hivi hapa nchini??
Taswira ya nchi yetu inaathiriwaje na vita vya Congo?
Nani aliipa mamlaka Tanzania kuwa police wa nchi za maziwa makuu?
 
Tukitaka kulinda amani katika ukanda wetu serikali iwekeze vilivyo katika sayansi na teknolijia tuachane na ma AK 47 imagine EAC nzima haina hata moja yenye missiles zenye nguvu katika karne hii ya 21.
 
We mpumbavu Sana

Mnachukua watoto wa masikini mnawapeleka vitani ili wakauliwe.
Si alienda jesh mwenyewe
Au unafikiri kazi ya jeshi ni kuuza ice cream
Nyumbu wewe
 
Unajua sehemu gani ya Congo hivyo vita vinapiganwa??
Umewaona wakimbizi wowote wa Congo mpaka sasa hivi hapa nchini??
Taswira ya nchi yetu inaathiriwaje na vita vya Congo?
Nani aliipa mamlaka Tanzania kuwa police wa nchi za maziwa makuu?
Vita ipo mashariki ya Kongo.

Wakimbizi wapo, na kama vita hii haitasimamishwa Kwa Rwanda kupigwa, maana yake wako wengi watakimbilia kwetu.

Tanzania ndio Baba la Amani ,linalogawa Amani kwa Mataifa ya kiafrika , Ushindi wowote wa Rwanda Kwa DRC ni kufufisha Imani ya mataifa mengi ya kiafrika, Ushindi wa Rwanda Kongo maana yake ni kuwaruhusu na wale jamaa waanzishe Chokochoko za Ziwa Nyasa.

Mamlaka hii tunaipa sisi wenyewe Wananchi.
 
Tuliwasaidia wa Kongo kumchapa m23 tukawaachia nchi yao ikiwa salama,kama wameshindwa kuilinda nchi yao basi watugawie Kongo iwe sehemu ya Tanzania hata askari wetu wanapokwenda kupigana ijulikane kuwa askari wetu wanapigana na kuuawa kwa kutetea maslahi ya nchi yao.

Ustarabu kama huu ulimshinda mbabe wa vita duniani Marekan Afghanistan,majitu kayapigania kaikabidhi nchi yao ikiwa salama wakashindwa kuilinda,Marekani akaona huu ni ujinga majitu gani haya yasiyoweza kujilinda yanataka yaendelee kulindwa kwa kutumia kodi za wananchi wa Marekani akaondoa majeshi yake Afghanistan wapambane na hali yao.
 
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Nenda kajiunge na jeshi la Congo au wanaMgambo wanaoiunga nkono serikali upigane.

Uliishawahi hata kupiga kwata tu achilia mbali kupitia mafunzo ya uaskari?

Pamya Roa tu wanakutoa kamasi.

Kampeni za Twitter zimehamia humu.

Kweli ni muhimu mafunzo ya JKT yangerejeshwa kwavijabna wote wanaomaliza form six na vyuo vya kati tena yawe ya mwaka mmoja, kama enzi zetu iki angalau wajue nini maana ya vita.

Athari za vita ya Uganda kwa kuwa hukuiona endelea kushabikia maana unadhani Tanzania ikiingia vitani hautahusika au kuathirika.
 
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Easier said than done...
 
Tuliwasaidia wa Kongo kumchapa m23 tukawaachia nchi yao ikiwa salama,kama wameshindwa kuilinda nchi yao basi watugawie Kongo iwe sehemu ya Tanzania hata askari wetu wanapokwenda kupigana ijulikane kuwa askari wetu wanapigana na kuuawa kwa kutetea maslahi ya nchi yao.

Ustarabu kama huu ulimshinda mbabe wa vita duniani Marekan Afghanistan,majitu kayapigania kaikabidhi nchi yao ikiwa salama wakashindwa kuilinda,Marekani akaona huu ni ujinga majitu gani haya yasiyoweza kujilinda yanataka yaendelee kulindwa kwa kutumia kodi za wananchi wa Marekani akaondoa majeshi yake Afghanistan wapambane na hali yao.
Kuongeza eneo lengine ni wazo Zuri ila inabidi serikali iongeze sayansi na teknolojia katika jeshi letu ili kudumisha amani kwenye ukanda wetu. Tuachane na ma AK 47 tutengeneze missiles sisi wenyewe.
 
Sifa kuu ya JWTZ Duniani ni kua hajawahi kushindwa , tulimshinda Idi Amini, Tulirejesha Amani Comoro, Tuliwafurusha M23 miaka Kadhaa nyuma , Tumeilinda Burudi dhidi ya mapinduzi ya Kagame, Kusini yetu Ina Amani, Dalili zozote za vikundi vya kigaidi zilizimwa mara Moja.

Kagame apigwe, M23 wapigwe !!

Mkwara anazotoa Kagame, usituyumbishe.
Jichanganyeni tu ,kagame ana Backup M23 wa zamani si sawa na wa sasas ,hawa wamejipanga siyo wale Banyamulenge au interahmwe enzi za Ndadaye ,Bizimungu ,Wamba Dia Wamba ,Lora Nkunda hawa ni New generation always strapped full loaded.
 
M23 ana fight for survival hapo kongo ..... we ungevaa viatu vyao ungefanyaje au ndiyo nyie mshazoea kuburuzwaa kila ndy mzee

Ova
 
Kuongeza eneo lengine ni wazo Zuri ila inabidi serikali iongeze sayansi na teknolojia katika jeshi letu ili kudumisha amani kwenye ukanda wetu. Tuachane na ma AK 47 tutengeneze missiles sisi wenyewe.
😄

Ova
 
Jichanganyeni tu ,kagame ana Backup M23 wa zamani si sawa na wa sasas ,hawa wamejipanga siyo wale Banyamulenge au interahmwe enzi za Ndadaye ,Bizimungu ,Wamba Dia Wamba ,Lora Nkunda hawa ni New generation always strapped full loaded.
Watu washajijengaa wanafikiria ni wale wa zamani

Ova
 
Kama sio serikali yetu basi EAC au viongozi wa SADC wakae chini waunde mpango wa kutengeneza kiwanda cha vifaa vya kivita vya karne ya 21 kama vile missiles na anti air strikes systems la sivyo amani haitadumu kwenye ukanda wetu.
 
Back
Top Bottom