Kwakua Sasa Damu ya JWTZ imemwaga, Tukirudi Nyuma, tutakua tumewakosea Mashujaa wetu waliofia Vitani , Kagame APIGWE ,DRC alindwe.

Kagame apigwe, kagame apigwe inaimbwa Kila mahala.

Wazee pale Msumbiji paliwaka moto na wale IS hakuna aliyeenda, SA karibu tu pale lakini hawakutoka kwenda, SADC Ilikuwa kila siku vikao. RPF wamekwenda wamepatuliza.

Kule Benn DRC, M7 yupo kule anakamua hakuna anayenyanyua mdomo.
Sudan watu wanauana kufuru, AU Iko kimya, Libya hakuna aliyetia miguu ni vikao tu mwanzo mwisho.
 
Unajipeleka mwenyewe Congo kupigana na M23 unapigwa alafu unaanza kulialia kumlaumu kagame akili matope kwelikweli, kapambaneni na M23 acheni kulialia na kumsingizia kagame
 
Jichanganyeni tu ,kagame ana Backup M23 wa zamani si sawa na wa sasas ,hawa wamejipanga siyo wale Banyamulenge au interahmwe enzi za Ndadaye ,Bizimungu ,Wamba Dia Wamba ,Lora Nkunda hawa ni New generation always strapped full loaded.
Tusipigane vita kwasbabu hatuna manufaa nao....na tunafaidika na Kagame kibiashara.

Lakini sio kuhusu Eti Rwanda na M23 hawapigiki.....hili hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…